Nimestaajabu Naomba mnieleweshe, hizi ndio riba za mkopo wa mtumishi wa Umma?

Nimestaajabu Naomba mnieleweshe, hizi ndio riba za mkopo wa mtumishi wa Umma?

Mkopo wa 42%?
Taasisi nyingi zinaishi kwa mishahara ya wafanyakazi; bank, NSSF, PSSF, NHIF n.k bila kuwekeza hela huko, taasisi zinakufa.
Kwa riba hiyo, inawawezesha na wao waweze kuishi kama wewe.
 
Mabenki yanawaumiza sana watumishi wa umma! Na bahati mbaya serikali nayo inafurahia tu kupata gawio la kinyonyaji kila mwaka.
 
Siku ya siku kichaa kimpande Kiduku wa North Korea atume ICBM ije iangukie Africa isambaratishe huu uwozo uliotukuka.

Mjomba Kiduku kama unanisikia fanyia kazi maombi yangu.Afrika imelaaaaniwaaaaaaaaaaaa........


We need to start afresh!!!!!
 
Nabado watu wanasomesha watoto EMS!!!!Siku za usoni wagonjwa wa changamoto ya afya ya akili takwimu zitapaa juu sana

Wafanyakazi wengi wanatembea ila akili zao hazipo sawa.Wengi sura hazina nusu mtu akikaa akilala anawaza madeni😣😣😣

Mtaani huko biashara zote za kuigana uchumi wa fremu umecolapse🚩🚩🚩🚮🚮🚮
 
Back
Top Bottom