Akili yako ni fupi sana!Sasa usichoelewa nini? Si ukakope kwenye riba nafuu
Hilo linahitaji BOT waje chumbani kwako kukushauri ?
Elimu yako haijakusaidia wazazi wako walipoteza pesa bure
Elimu na wewe unasoma ya nini wakati hata ukienda dukani unaangalia maduka tofauti tofauti ili ujue unununue wapi bidhaaAkili yako ni fupi sana!
Kila nchi duniani serikali huwa ipo kulinda maslai ya wananchi, peleka hivyo vibkaisha damu kwa nchi zinazojielewa uone kama vitapokelewa,
Ila sehemu yenye vilaza kama wewe ndio hayo mambo yanafanyika
Huna akili
Kwakua akili yako imeishia hapo, huna uelewa wa hayo maswalaElimu na wewe unasoma ya nini wakati hata ukienda dukani unaangalia maduka tofauti tofauti ili ujue unununue wapi bidhaa
Mikopo nayo ni bidhaa tu kama bidhaa za madukani tu ukienda kwenye ghali usilaumu serikali wewe ndio akili unakuwa kichwani huna
Sio kazi ya serikali kukutumbukizia akili kwenye fuvu la kichwa chako
Sasa je hao wa 42% ukikopankwa miaka 5 sindio unakopa 7M unalipa 50MHata hao wenye 17% riba yao pia inaweza kuwa 150% ukitaka kujua hilo kopa kwa muda mrefu miaka 8,9,10...
Hiyo 17% ni faida kwa watu wenye mkopo wa muda mfupi tu lkn kwa muda mrefu ni kama hao wengine tu
Wengi hawajui compound interest,kila mwaka wanajikuta deni linaanza upya ,mwisho wakichukia miaka mingi ngoma inapiga mpaka 150%Hata hao wenye 17% riba yao pia inaweza kuwa 150% ukitaka kujua hilo kopa kwa muda mrefu miaka 8,9,10...
Hiyo 17% ni faida kwa watu wenye mkopo wa muda mfupi tu lkn kwa muda mrefu ni kama hao wengine tu
Na kwanini ww mwananchi uende huko kwenye mifupa wakati umewekewa maini?Sasa je hao wa 42% ukikopankwa miaka 5 sindio unakopa 7M unalipa 50M
Serikali inatoa Leseni kwa watu wa namna hii? Hii ni kulinda maslai ya mwananchi au muwekezaji?
Nimegundua wewe ni kakakijana hakana Ajira Licha ya kuomba mapambio Kila siku.Sasa usichoelewa nini? Si ukakope kwenye riba nafuu
Hilo linahitaji BOT waje chumbani kwako kukushauri ?
Elimu yako haijakusaidia wazazi wako walipoteza pesa bure kukusomesha