Nimestushwa sana kusikia mtangazaji Wasafi Media, anayeitwa Adela, akijimwambafai kuwa amewahi kuhongwa milioni 60 na mpenzi wake!

Hivi kuna watu mnasikiliza wasafi?
 
Usitishwe na 'figures' mkuu, wanaongezaga tarakimu hao.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nakumbuka ilikuwa mwaka 2014 tupo maeneo ya Soccer City Bar Sinza na jamaa zangu wawili wote ni Matajiri wa ndizi, mmoja akasema ana namba ya Masogange (rip) Mwenzake akaiomba akapiga haijapokelewa akatuma 30k, demu akapiga simu mwenyewe. Sorry Babe nipo Arusha narudi jumanne nitakucheki, mrejesho Jamaa alienda kumla akampa 120,000 tu. Lakini mitandaoni alikuwa anajifanya ni demu wa nyota 5. Hakuna kitu hawa ma celebrity wa kibongo shida tupu na ku feki life tu.
 
***** labda kama aliliwa jicho kwa afu 60 sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…