Wako wapi...mbona siwaoni?Wadada mbona ni wengi sana, kuna wale ukimpea buku jero anaridhika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wako wapi...mbona siwaoni?Wadada mbona ni wengi sana, kuna wale ukimpea buku jero anaridhika.
Hivi kuna watu mnasikiliza wasafi?Nafuatitilia kipindi Cha Wasafi Media, kinachorudhwa LIVE muda huu, ambacho kimepewa jina la HAUJUI, nikishuhudia mtangazaji wa Wasafi Media, Oscar Oscar, akimuuliza mtangazaji mwenzake anayeitwa Adela, akimuuliza awe mkweli na amwambie katika maisha yake , anakumbuka ni kiasi Gani alichowahi kuhongwa kikubwa na anakumbuka ni kiasi Gani??
Msichana huyo bila aibu Wala kusita amejibu kuwa aliwahi hongwa na Bwana tu aliyekuwa akitembea naye shilingi milioni 60 Kwa mpigo!
Nimestushwa sana na huo ushuhuda aliotoa huyo mdada, ingawa hakumtaja huyo mtu wake "kibopa bilionea" lakini Mimi naamini kuwa atakuwa mwanasiasa, kutoka Sisiem!
Kwa kuwa pia naamini kuwa huyo "kipopa bilionea" atakuwa amefanya wizi wa Kula Kwa urefu wa kamba yake!
Kwa kuwa Rais Samia alishawapa "green light" hao wateule wake, wale Kwa urefu wa kamba zao, Kwa kuwa siamini kama atakuwepo mfanyibiashara yoyote atakayekuwa na "wehu" huo wa kuhonga pesa nyingi kiasi hicho, tena akiwa ni kimada tuuu!
Kwa kuwa najua Kwa mfanyibiashara yeyote wa nchi hii hata akiwa "level" za akina Bakheresa, hawezi kufanya uendawazimu wa aina hiyo, ukizingatia mlolongo wa makodi ya TRA yanayomwandama Kila kona
Usitishwe na 'figures' mkuu, wanaongezaga tarakimu hao.Nafuatitilia kipindi Cha Wasafi Media, kinachorudhwa LIVE muda huu, ambacho kimepewa jina la HAUJUI, nikishuhudia mtangazaji wa Wasafi Media, Oscar Oscar, akimuuliza mtangazaji mwenzake anayeitwa Adela, akimuuliza awe mkweli na amwambie katika maisha yake , anakumbuka ni kiasi Gani alichowahi kuhongwa kikubwa na anakumbuka ni kiasi Gani??
Msichana huyo bila aibu Wala kusita amejibu kuwa aliwahi hongwa na Bwana tu aliyekuwa akitembea naye shilingi milioni 60 Kwa mpigo!
Nimestushwa sana na huo ushuhuda aliotoa huyo mdada, ingawa hakumtaja huyo mtu wake "kibopa bilionea" lakini Mimi naamini kuwa atakuwa mwanasiasa, kutoka Sisiem!
Kwa kuwa pia naamini kuwa huyo "kipopa bilionea" atakuwa amefanya wizi wa Kula Kwa urefu wa kamba yake!
Kwa kuwa Rais Samia alishawapa "green light" hao wateule wake, wale Kwa urefu wa kamba zao, Kwa kuwa siamini kama atakuwepo mfanyibiashara yoyote atakayekuwa na "wehu" huo wa kuhonga pesa nyingi kiasi hicho, tena akiwa ni kimada tuuu!
Kwa kuwa najua Kwa mfanyibiashara yeyote wa nchi hii hata akiwa "level" za akina Bakheresa, hawezi kufanya uendawazimu wa aina hiyo, ukizingatia mlolongo wa makodi ya TRA yanayomwandama Kila kona
Mil 6 si unaposa na harusi hizi za michango unaoa kabisa unamiliki matatizo!Ni mzuri ,ila 60M hapana labda 6 hata me ningeweza kumpa
😅😅😅😅Wadada kama hawa wanafanya wanaume wengine tuonekana malapulapu kwa wanawake wengine
Naunga Mkonyo Hoja, Pictures ZakeTuweke picha yake huyo Adela
Wengine hatumjuwi..
Ova
Wewe unataka pisi kali ndio shida ilipo.Wako wapi...mbona siwaoni?
Hatari tena ukute ina mnato nd she is a freakPower of pussy
Wee bwana kukojolea pazuri kila mwanaume anatama i tatizo ndalamaWewe unataka pisi kali ndio shida ilipo.