Nimetafakari sana na kugundua wanaume hapa Tanzania tupo kwenye mgomo dhidi ya wanawake

Kweli comrade!!
 
Tik tok na insta(reel) zimetusaidia kujua malimbukeni wengi
 
mbona kila wikiendi kumbi zimejaa masherehe🤔 au huwaga ni za vicoba? wanaofagilia hii post maisha yao enyewe ndo hayo🤗
 
Siku hizi sijui nawaonaje!!!! Naona km napishana na midume tuuu....
 
Mkuu ..watakuja kukupinga hapa ...lakini mimi nimekuelewa vizur na nna kubaliana na ww kwa 100 % mahusiano mengi sahv yamegeuka kero ndo maana unaona kila mtu yuko kivyake
 
i always like these kind of creativity in threads, Kudos!
 
Yah man!!!"jah bless uu".....fact iz fact no matter what!
 
Mtihani huu jmn, huu nao ni uzi? Halafu unaweza ukakuta huyu ni graduate wa SAUT l.
Wa2 kama nyie ndio waliomshangaa SIR ISACK NEWTONE ,kuanza kuchunguza kwa nini jani la mti aliokuwa amejipuzishia kivulini lilipodondoka kwa nini lilianguka chini badala ya kwenda juu,, kadhalika wa2 wenya akili mgando kama ninyi ndo walikua kama waroma walipomfunga gerezani GALILEI GALILEO pale aliposema DUNIA ni mviringo wakati WAROMA walikua wanaamini DUNIA ni kama meza,,,,,,,,jifunze kutafari mazee,"hamna milioni kabla ya moja papaa!!"
 
They are selfish
Takers with no shame, all they up to is take and take and then come back to take and take and then complain they were not given enough so they take and take and take and go then they will come back and you should know better, they will come to TAKE.

Hawanaga shukrani na waeadhani ni haki yao kupewa kila watakacho na wapewe hapo hapo na wapewe na mwanaume yeyote awe tayari kuwapa.

Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani
 
 
du!!!
 
Kuna mwanamke mmoja alijileta mwenyewe....kwa sasa imekuwa nongwa eti mimi simbebelezi😂😂 mimi nimemuambia sijui kubembeleza kama vipi atembee..
 
da!!! kweli jamaa!!!...ahahahaaaaa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…