Nimetafuta kazi nimechoka, naweza kufanya biashara gani na laki tatu?

Nimetafuta kazi nimechoka, naweza kufanya biashara gani na laki tatu?

masanjuo

Senior Member
Joined
Oct 10, 2016
Posts
186
Reaction score
310
Habari Za sahivi wanajamii wenzangu. Mimi ni msichana nina miaka 29. Natamni Sana kujiajiri Kwa sababu kazi zimekuwa ngumu Sana, nimetafuta mpaka nimechoka sasa nimeuza simu yangu Na radio yangu nimejikuta mkononi nina laki 3 Tu.

Naombeni ushauri japo wa mawazo nifanyie biashara Gani ambayo naweza nikazalisha na kupata walau faida Na baadae hata kurudisha both vilivyopotea.

Nawaza biashara Nyingi Lakin Naona kama mtaji hautoshi. NB: Msiniseme naombeni mawazo mazuri ya kunijenga natamni nisimame mwenyewe kama wengine.

Location nipo Dar es Salaam

Pia, Soma=> Mrejesho mtaji wa laki 3: Nimeamua kuuza biashara ya matunda na genge
 
Jabari Za saiv wanajamii wenzangu ..Mimi ni msichana ninamiaka 29 Natamni Sana kujiajiri Kwa sababu kazi zimekuwa ngumu Sana nmetafuta mpaka nimechoka sasa nimeuza...
Excellent wewe kweli upo determined. Njoo nikuoe na mtaji wa laki tano uanzishe biashara ya kuuza vifuniko vya asali vya warembo
 
Tupe faida ulivyoolewa umepata nini na nini?
Ni mwanaume naoa siolewi.

Ukitaka faida anazopta mwanamke kwenye ndoa naweza kukujazia lundo la faida kabla wakati wa ndoa na baada ya ndoa.

Kabla ya ndoa(wakati wa kuanza biashara)mwanaume anampa mwanamke mahari(mtaji) wa kufanyia biashara hiyo ni faida ya kwanza kwa mwanamke.

Je unataka niendelee au niache?
 
Back
Top Bottom