dadaake
JF-Expert Member
- Jan 10, 2017
- 1,125
- 1,108
Siku hz hakuna mambo ya unapenda kufanya nnnn,,unafanya lolote lile la halali lenye kuweza kukupa faida na kusonga mbeleNdio, atuambie anapenda kufanya Nini kwenye biashara...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku hz hakuna mambo ya unapenda kufanya nnnn,,unafanya lolote lile la halali lenye kuweza kukupa faida na kusonga mbeleNdio, atuambie anapenda kufanya Nini kwenye biashara...
Kuna mpuuzi mwingine huko juu naye amemkebehi huyo dada af anasema eti yeye ni msomi! Wasomi wa siku hizi wa hovyo sana!!Umeongea vema. Halafu sijui mods wako wapi na kwanini wanawaacha hawa watu wanaoleta mizaha kwenye kila jambo. Hili sio jukwaa la cheap jokes.
Wanazingua kinoma, kwenye uzi wa mtu anaegitaji msaada kuna mamtu yanaingia kupiga story wakati pm zipoHilo ndio tatizo la watu wa humu,unauliza hiki wao waneleta ya kwao,hapo Bado watakuja wanaoitana bby,yaan n shidaaa
Acheni ukuda, binti anahitaji ushauri mnaleta ushubwada.Kwanini wewe usimshauri,unapitia comments za nini wakati sio wewe uliyehitaji msaada
Wewe mshauri,wala hujachelewa
Habari Za sahivi wanajamii wenzangu. Mimi ni msichana nina miaka 29. Natamni Sana kujiajiri Kwa sababu kazi zimekuwa ngumu Sana, nimetafuta mpaka nimechoka sasa nimeuza simu yangu Na radio yangu nimejikuta mkononi nina laki 3 Tu.
Naombeni ushauri japo wa mawazo nifanyie biashara Gani ambayo naweza nikazalisha na kupata walau faida Na baadae hata kurudisha both vilivyopotea.
Nawaza biashara Nyingi Lakin Naona kama mtaji hautoshi. NB: Msiniseme naombeni mawazo mazuri ya kunijenga natamni nisimame mwenyewe kama wengine.
Location nipo Dar es Salaam
Pia, Soma=> Mrejesho mtaji wa laki 3: Nimeamua kuuza biashara ya matunda na geng
Habari Za sahivi wanajamii wenzangu. Mimi ni msichana nina miaka 29. Natamni Sana kujiajiri Kwa sababu kazi zimekuwa ngumu Sana, nimetafuta mpaka nimechoka sasa nimeuza simu yangu Na radio yangu nimejikuta mkononi nina laki 3 Tu.
Naombeni ushauri japo wa mawazo nifanyie biashara Gani ambayo naweza nikazalisha na kupata walau faida Na baadae hata kurudisha both vilivyopotea.
Nawaza biashara Nyingi Lakin Naona kama mtaji hautoshi. NB: Msiniseme naombeni mawazo mazuri ya kunijenga natamni nisimame mwenyewe kama wengine.
Location nipo Dar es Salaam
Pia, Soma=> Mrejesho mtaji wa laki 3: Nimeamua kuuza biashara ya matunda na gengenjoo mafinga ufanye biashara ya mbao za furniture