Nimetafuta kazi nimechoka, naweza kufanya biashara gani na laki tatu?

Nimetafuta kazi nimechoka, naweza kufanya biashara gani na laki tatu?

Nenda kariakoo angalia sehemu penye watu wengi kaa hapo.Tumia wiki moja tu.Kila siku amka asubuhi nenda eneo lilelile.Najua baada ya siku 7 hizo utakuwa umeanza kufanya kitu.
 
Uza yebo yebo(fata kiwandani) uza genge la mboga mboga, sogea karibu na shule kaanga viazi ulaya wateja pupils, nunua karanga kaanga uza Kama una ndugu yako mikoani itakua POA huku Bei rahisi, uza supu kongoro(naipendaga iyo). Fungu kijiwe Cha matunda location nzuri (uwe msafi), nenda mjini Kati nunua mifuko ya kaki(bahasha) zungusha stationary na madukani. UKIKOPESHA HAKUNA RANGI UTACHA ONA.

chao
 
Kaka
Nenda kariakoo angalia sehemu penye watu wengi kaa hapo.Tumia wiki moja tu.Kila siku amka asubuhi nenda eneo lilelile.Najua baada ya siku 7 hizo utakuwa umeanza kufanya kitu.
Zoezi gumu ilo imagine week nzima.
 
Mawazo umepata, ukifanikiwa kuanzisha biashara yoyote kabla ya mwaka kuisha, nicheki PM nikithibitisha, nitakuunga mkono kwa kununua na pia kukuongezea Bonus ya 100k kwenye mtaji wako. [emoji3577]
Ntashukur Sana
 
Zaman nilikua nilikua nilikua nikiingia jf nakuta watu wanajibu kistaarabu sana ila sa hv ovyo sana jaman mtu anapofika hatua ya kuandika hapa ujue anahitaji msaada kama huwez msaidia jitahid angalau basi usimpe maumivu
Kabisa,mwenyewe nimeshangaa comments za watu
 
Ila muwe na hofu ya Mungu kidogo mtu anaomba ushauri wa jinsi ya kujikomboa kiuchumi af mnamkebehi! Sio sahihi kabisa❌
Umeongea vema. Halafu sijui mods wako wapi na kwanini wanawaacha hawa watu wanaoleta mizaha kwenye kila jambo. Hili sio jukwaa la cheap jokes.
 
Ndio maana watu wataogopa hata kuleta hoia zao ili wasaidiwe kulingana na comment za watu za kukatisha tamaa.

Mtoa mada kaleta hoja yake vizuri tu ili asaidiwe lakini mizaha imekuwa mingi pasipo kupata ufumbuzi wa jambo lake,tuelimikeni jamani,kama huna hoja ya kumsaidia ni vizuri tu kukaa kimya.
 
Nunua Popcorn [emoji897] mashine kwetu

Au heavy duty blender ukatengeneza juisi

Kwa mashine zote karibuni 0657050325
 
Ndio maana watu wataogopa hata kuleta hoia zao ili wasaidiwe kulingana na comment za watu za kukatisha tamaa.

Mtoa mada kaleta hoja yake vizuri tu ili asaidiwe lakini mizaha imekuwa mingi pasipo kupata ufumbuzi wa jambo lake,tuelimikeni jamani,kama huna hoja ya kumsaidia ni vizuri tu kukaa kimya.
Ebu tuachage utoto basi. Wee huku ulimwenguni kwenyewe tuu sio kila mtu yupo serious and iwe cyberspace. Ukiingia huku kuna kila kitu utakacho ni wewe tuu na akili zako uchague kinachokufaa
 
Back
Top Bottom