Nimetafuta kazi nimechoka, naweza kufanya biashara gani na laki tatu?

Nimetafuta kazi nimechoka, naweza kufanya biashara gani na laki tatu?

Habari Za sahivi wanajamii wenzangu. Mimi ni msichana nina miaka 29. Natamni Sana kujiajiri Kwa sababu kazi zimekuwa ngumu Sana, nimetafuta mpaka nimechoka sasa nimeuza simu yangu Na radio yangu nimejikuta mkononi nina laki 3 Tu...
Kwa hali hiyo inabidi ujiweke kwenye survival mode kwanza kwa six months ukiwa unafanya hizo biashara ndogo ndogo.

Anza na hivi kutegemea na circle yako.

1. Nunua vile vicontainer vidogo vidogo vya plastic ingia sokoni nunua kisamvu, mchicha na mboga zingine za majani ziandae vizuri zipaki vizuri kisha pita maofisini ukiuza huko utapata wateja na utapata connection za kazi na biashara zingine. Watu wengi walioko maofisini ni lazy kujitafutia mahitaji yao lakini pia wana matumizi ya hovyo ya hela hivyo unapata wateja na utajua vitu vipi wanavihitaji zaidi.

2. Kama unajua kupika keki anza kupika keki jiji la Dar ni jiji la Starehe visherehe vidogo vidogo haviishi so unaweza kupata wateja.

3. Uza heleni na vifuniko vya asali japo kuna wenzako wengi sana wanafanya hiyo biashara.
 
Laki tatu ni hela nzuri tu, sema frem ndo itakukosti,

Kama uko strong fungua genge, ila usimamie mwenyewe.

Pia endelea kutafuta kazi, ipo siku yako utafanikiwa, Mungu ni wa wote.
Genge kila mtu anafanya huyu nachomshauri aende pale karume achukue mitumba mikali ya kike afungue banda ajitahidi kushawishi wateja nimefanya utafiti nimekuja gundua watanzania wengi wananunua maelezo unayowapa kuhusu bidhaa iliyopo dukani na sio bidhaa
 
Hiyo laki tatu yako kapange chumba cha 40k kwa mwezi lipa miezi 3 alaf inayobaki nunua vyombo na godoro dogo tu alafu ingia insta piga picha za uchi na upost weka namba watu wakutafute wao ndio wakufuate akijja mtu unakubaliana nae bei na anakulipa hela ya chumba 10k kwa siku unajikuta unaingiza hata laki na nusu inategemea unapatania vipi. Unakalia kitega uchumi alafu unajisahaulisha
Mmmh nyeti zake ndiyo zitaumia na mikosi itamwandama na nyota itafifia, na kizazi kitalaaanika.....

Kisaikolojia wanaojiuza ni giza wanatengeneza na si nuru.
 
Habari Za sahivi wanajamii wenzangu. Mimi ni msichana nina miaka 29. Natamni Sana kujiajiri Kwa sababu kazi zimekuwa ngumu Sana, nimetafuta mpaka nimechoka sasa nimeuza simu yangu Na radio yangu nimejikuta mkononi nina laki 3 Tu...
Hiyo hela si haba, naona waungwana wachache wamekushauri vyema kabisa. Una elimu au ujuzi gani?
 
Mmmh nyeti zake ndiyo zitaumia na mikosi itamwandama na nyota itafifia, na kizazi kitalaaanika.....

Kisaikolojia wanaojiuza ni giza wanatengeneza na si nuru.
Kuuza nyeti ni ukosefu wa maarifa wanawake wengi walijidanganya kuamuq kudanga lakini mwisho wameishia kuwa watumwa wa ngono tunawaona tu huko kwenye mabar kila siku
 
Back
Top Bottom