Danelagen bin Al Maktoum
JF-Expert Member
- Jun 24, 2023
- 354
- 807
Njoo kwenye matreni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hali hiyo inabidi ujiweke kwenye survival mode kwanza kwa six months ukiwa unafanya hizo biashara ndogo ndogo.Habari Za sahivi wanajamii wenzangu. Mimi ni msichana nina miaka 29. Natamni Sana kujiajiri Kwa sababu kazi zimekuwa ngumu Sana, nimetafuta mpaka nimechoka sasa nimeuza simu yangu Na radio yangu nimejikuta mkononi nina laki 3 Tu...
Mwambie huyoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni biashara.
Tena yenye faida mno kwa wanawake.
Kama ulikuwa hujui anza kutambua ilo sasa.
Faida gani hasa??Mwambie huyoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Genge kila mtu anafanya huyu nachomshauri aende pale karume achukue mitumba mikali ya kike afungue banda ajitahidi kushawishi wateja nimefanya utafiti nimekuja gundua watanzania wengi wananunua maelezo unayowapa kuhusu bidhaa iliyopo dukani na sio bidhaaLaki tatu ni hela nzuri tu, sema frem ndo itakukosti,
Kama uko strong fungua genge, ila usimamie mwenyewe.
Pia endelea kutafuta kazi, ipo siku yako utafanikiwa, Mungu ni wa wote.
NdioUnataka na yeye afanye biashara Kama yako ya kufukuliwa tope?
Mmmh nyeti zake ndiyo zitaumia na mikosi itamwandama na nyota itafifia, na kizazi kitalaaanika.....Hiyo laki tatu yako kapange chumba cha 40k kwa mwezi lipa miezi 3 alaf inayobaki nunua vyombo na godoro dogo tu alafu ingia insta piga picha za uchi na upost weka namba watu wakutafute wao ndio wakufuate akijja mtu unakubaliana nae bei na anakulipa hela ya chumba 10k kwa siku unajikuta unaingiza hata laki na nusu inategemea unapatania vipi. Unakalia kitega uchumi alafu unajisahaulisha
Ana laki 3 asaidiweje sasaMmmh nyeti zake ndiyo zitaumia na mikosi itamwandama na nyota itafifia, na kizazi kitalaaanika.....
Kisaikolojia wanaojiuza ni giza wanatengeneza na si nuru.
FantasticKwa dsm kwa mtaji wako huo wa laki 3 anza na biashara ya kuuza matunda sio ule wa kutembeza kwenye beseni ule una una vishawishi vingi toka kwa sisi wanaume unaweza kukutoa kwenye mstari...
Kajifunze kwanza kuandika ndiyo uanze pumba zako.Kuolewa unataka au utaki?
Nunua korosho kaanga vizuri zungusha kwemye madukaHabari Za sahivi wanajamii wenzangu. Mimi ni msichana nina miaka 29. Natamni Sana kujiajiri Kwa sababu kazi zimekuwa ngumu Sana, nimetafuta mpaka nimechoka sasa nimeuza simu yangu Na radio yangu nimejikuta mkononi nina laki 3 Tu...
Hiyo hela si haba, naona waungwana wachache wamekushauri vyema kabisa. Una elimu au ujuzi gani?Habari Za sahivi wanajamii wenzangu. Mimi ni msichana nina miaka 29. Natamni Sana kujiajiri Kwa sababu kazi zimekuwa ngumu Sana, nimetafuta mpaka nimechoka sasa nimeuza simu yangu Na radio yangu nimejikuta mkononi nina laki 3 Tu...
Korosho pia japo nina wasiwasi na mtaji wakeNunua korosho kaanga vizuri zungusha kwemye maduka
Kuwa serious na maisha ya wengine, ujinga wenu na mawardat pelekeni huko huko.,Excellent wewe kweli upo determined. Njoo nikuoe na mtaji wa laki tano uanzishe biashara ya kuuza vifuniko vya asali vya warembo
Yaani inasikitisha sana, mtu yuko serious wengine wanafanya utotoSasa ndio upuuzi gani huu
Kuuza nyeti ni ukosefu wa maarifa wanawake wengi walijidanganya kuamuq kudanga lakini mwisho wameishia kuwa watumwa wa ngono tunawaona tu huko kwenye mabar kila sikuMmmh nyeti zake ndiyo zitaumia na mikosi itamwandama na nyota itafifia, na kizazi kitalaaanika.....
Kisaikolojia wanaojiuza ni giza wanatengeneza na si nuru.
Ujinga wangu ni wangu huna sababu ya kumsema mawardatKuwa serious na maisha ya wengine, ujinga wenu na mawardat pelekeni huko huko.,