Nimetafuta Wimbo Wa Eid El fitri Wa kisukuma nimeukosa

Nimetafuta Wimbo Wa Eid El fitri Wa kisukuma nimeukosa

Hoja yako imekaa kinafiki nafiki sana😎😎😎
Kivipi ndugu yangu.

Ghafla unafikia kwenye jitmai kwamba hoja yangu imekaa kinafiki.

Siyo mnafiki wewe usiyetaka hata kutumia Jina lako HALISI??

Unaita watu wanafiki kirahisi Kwa kuwa hujulikani wewe ni nani???
 
kuna jamaa yangu anaitwa Maganga ni muislam safi kabisa...

Makabila ya kifugaji mengi dini zao ni za asili...

Wamasai na wasukuma ni mifano.
 
kuna jamaa yangu anaitwa Maganga ni muislam safi kabisa...

Makabila ya kifugaji mengi dini zao ni za asili...

Wamasai na wasukuma ni mifano.
Kabisa... Wao hawakuingiliwa sana na hizi dini tunazozibebea na tamaduni zao...

Si unaona Ili ujiite Nabii au Mtume si lazima uchanganye na kiingereza... Sasa kiingereza na ukristo wapi na wapi???
 
Kwa kuwa wasukuma ni miongoni mwa makabila makubwa nchini, bila ya shaka wasukuma kadhaa ni Waislam.

Kwa mintarafu hiyo nikapata shauku ya kusikiliza Wimbo angalau mmoja ulioimbwa Kwa kisukuma kusherehesha siku kuu hii nimeukosa kabisa.

Kama Kuna mtu ana wimbo ulioimbwa kwa Kisukuma maalum Kwa ajili ya Eid El Fitri atuwekee tusikilize wasukuma nao wanavyomtukuza ALLAH.
Yaan Usukumani hawajuagi Kama Kuna kitu kinaitwa EID..
 
Huku dasalama Temeke na viunga vyake wanajuaga kula sikukuu ya EID bila kusahau Zanzibar

Ukitembelea huko ndo utajua nguvu ya EID watu kibao barabarani

Leo jioni nilikua road with CRUTCHES nikifanya exercises aisee watu kibao wake kwa waume na watoto 😊😊😊
 
Kaka mazoezi fanya jioni saa 11 Ina tosha, jioni uta ibiwa hizo crutches πŸ˜†
 
Back
Top Bottom