Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
- Thread starter
- #41
Wasukuma naona mnapanga yenu... Ila yule ndugu yenu Nyani Ngabu huwa anajifanya check bob sijui kama anakumbuka kisukuma...🤣🤣🤣🤣Nataka nusu kisukuma, nusu ngeli 🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasukuma naona mnapanga yenu... Ila yule ndugu yenu Nyani Ngabu huwa anajifanya check bob sijui kama anakumbuka kisukuma...🤣🤣🤣🤣Nataka nusu kisukuma, nusu ngeli 🤣
Hiyo rhythm huwezi kuipata aisee 🤣🤣🤣Nataka nusu kisukuma, nusu ngeli 🤣
Anajua vizuri tena kile Cha Kinyantuzu kabisaWasukuma naona mnapanga yenu... Ila yule ndugu yenu Nyani Ngabu huwa anajifanya check bob sijui kama anakumbuka kisukuma...🤣🤣🤣🤣
Siyo mwenyeji usukumani...Mkuu ulishawahi kuona msikiti usukumani. Na wasukuma kabisa wamejaa wanaswali?
Umeshasema anaitwa Maganga.kuna jamaa yangu anaitwa Maganga ni muislam safi kabisa...
Makabila ya kifugaji mengi dini zao ni za asili...
Wamasai na wasukuma ni mifano.
IPO mbona 😆, mfano bhakima na bhagosha let's kill it🤣🤣🤣.Hiyo rhythm huwezi kuipata aisee 🤣🤣🤣
Kaka huwezi amini, na play beat hapa Huku nacheka🤣😂Wasukuma naona mnapanga yenu... Ila yule ndugu yenu Nyani Ngabu huwa anajifanya check bob sijui kama anakumbuka kisukuma...🤣🤣🤣🤣
Pata sample ya hip hop ya Kisukuma 🤣.Nataka tutengeneze ngoma ya hip hop ya kisukuma.
Nina imani tuta pata dude zito, ambalo Lita wapa wasukuma credit kubwa.
Chorus napiga mwenyekiti, verse Kiranga, Nyani Ngabu na wewe Manyanza .
Nb, nusu kisukuma, na ngeli
Nyanoko ebhe!Wasukuma naona mnapanga yenu... Ila yule ndugu yenu Nyani Ngabu huwa anajifanya check bob sijui kama anakumbuka kisukuma...🤣🤣🤣🤣
Wanamchanganyia na majani ya mpapai? 🤣Upunguze bhangi za kusokotewa raha ya bhangi usomote mwenyewe.
Nete ginehe nate na hela..Yuko serious kabisa , ange weka na ngeli kidogo.
Ana Anza bhakima na bhagosha let's kill it😀🤣
Umeshasema anaitwa Maganga.
Maganga sio Msukuma
Kwa ivo umeamua kunipiga kisukuma siyo...🤣🤣🤣Nyanoko ebhe!
Lushindo long’wa so bughondo.Kwa ivo umeamua kunipiga kisukuma siyo...🤣🤣🤣
Mkubwa nime cheka Sana Aisee 🤣🤔Lushindo long’wa so bughondo.
Kahalahala gete a kayanda kenako.Mkubwa nime cheka Sana Aisee 🤣🤔
Endelea kuka funza adabu, kata heshimu wasukuma tu.Kahalahala gete a kayanda kenako.
Nagwene na kadukila.