Nimetafuta Wimbo Wa Eid El fitri Wa kisukuma nimeukosa

Asee na mimi natafuta wa kimasai nimalizie iddy pili vizuri....
 
eid el fitri ni kitu gani kwa wasukuma? Hakijulikani ni kitu gani hicho. Kama kuna wasukuma ni waislam itashangaza sana! Labda walisilimu miaka ya hivi karibuni. Usukumani si pwani waliko waislam wengi tangu zama za waarabu
 
Uzi huu lengo lake linajulikana, sijui huwa mnajisikiaje mkianza kutupiana na kudhihakiana kisa dini.

Ipo siku hali hii itatoka mitandaoni, na kuhamia mtaani. Mnatengeneza sumu mbaya saana bila kujua.
acha ujinga, yaani watu wakapiganie utamaduni na mila za kiarabu huku wanazo mila na tamaduni zao huoni kuwa huo ni uendawazimu?
 
Kabisa... Wao hawakuingiliwa sana na hizi dini tunazozibebea na tamaduni zao...

Si unaona Ili ujiite Nabii au Mtume si lazima uchanganye na kiingereza... Sasa kiingereza na ukristo wapi na wapi???
na ndio lengo kuu hasa la mleta mada kwamba dini hiyo iliathiri zaidi makabila ya pwani kuliko bara. Wa pwani wakafanya ndio utamaduni na mila zao hadi sasa wakati ni waarabu ndio walileta dini hiyo
 
Utakuwa uzembe tu wa wasukuma mbona Bukedde Tv walishinda wanapiga kaswida za ki luganda siku ya Idd
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…