Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jitolee wew kama mfano wa vidume wenzioHumu Jf kuna wanaume "MAFUKARA" namaanisha kuna wanaume "MASKINI" haswa.. Wengi wao watapita hii thread kama vile hawajaielewa..
Mwanaume kweli unashindwa vipi kumtoa huyu dada out ya kumpeleka kumnunulia nguo za Milion 2 super market? shubamit
Kwani hauna dear akununulie?
Moral of the storySina mwaya.
Ndio nafanya mchakato hapa nifanye usajili
Na wewe ni maskini kama sisi? Kama sio kamnunulie basi.Humu Jf kuna wanaume "MAFUKARA" namaanisha kuna wanaume "MASKINI" haswa.. Wengi wao watapita hii thread kama vile hawajaielewa..
Mwanaume kweli unashindwa vipi kumtoa huyu dada out ya kumpeleka kumnunulia nguo za Milion 2 super market? shubamit
HAlafu baada ya kumnunulia inakuwaje?Humu Jf kuna wanaume "MAFUKARA" namaanisha kuna wanaume "MASKINI" haswa.. Wengi wao watapita hii thread kama vile hawajaielewa..
Mwanaume kweli unashindwa vipi kumtoa huyu dada out ya kumpeleka kumnunulia nguo za Milion 2 super market? shubamit
Ni sawa na demu aje geto halafu hujui ufanye nini serious?HAlafu baada ya kumnunulia inakuwaje?
HahaJitolee wew kama mfano wa vidume wenzio
😂😂😂😂 umetisha mkuuKuna wale wana wanasema ukifa utarudi kwa baba unakuwa kama mtoto kila kitu unapewa bure...
Humu Jf kuna wanaume "MAFUKARA" namaanisha kuna wanaume "MASKINI" haswa.. Wengi wao watapita hii thread kama vile hawajaielewa..
Mwanaume kweli unashindwa vipi kumtoa huyu dada out ya kumpeleka kumnunulia nguo za Milion 2 super market? shubamit