Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,321
- 18,574
HaitowezekanaZamani hizo muda kama huu babu ameshaninunulia nguo za sikukuu kuanzia za kuendea kanisani Alhamis kuu mpaka za Easter Monday.
Sasa hivi naishia kutamani tu. Siwezi hata kuvaa nguo mpya kwenye sikukuu zaidi ya kumvalisha dogo.
Nimetamani kweli kweli ningekua mtoto ninunuliwe nguo mpya kwenye Pasaka [emoji26][emoji26] maana hata nikijinunulia hainogi kama kununuliwa na kale ka kafeeling ka kujua utavaa nguo mpya uslay kwenye sikukuu kalikua burudani sana.
We endelea kutamani tu[emoji23][emoji23]
Alafu kutamani ni dhambi kwa mujibu wa maandiko