Nimetamani kuwa mtoto

Nimetamani kuwa mtoto

Hapa nilipo mvua inanyesha, kuna kaupepo ka baridi ambako sijakafeel muda mrefu sana. Mbaya zaidi, niko peke yangu nyumba nzima. Acha nilale tu!
Mtu mwingine tena kasema Sinza kuna mvua huku kwetu joto bado linatuumiza
 
Zamani hizo muda kama huu babu ameshaninunulia nguo za sikukuu kuanzia za kuendea kanisani Alhamis kuu mpaka za Easter Monday.

Sasa hivi naishia kutamani tu. Siwezi hata kuvaa nguo mpya kwenye sikukuu zaidi ya kumvalisha dogo.

Nimetamani kweli kweli ningekua mtoto ninunuliwe nguo mpya kwenye Pasaka [emoji26][emoji26] maana hata nikijinunulia hainogi kama kununuliwa na kale ka kafeeling ka kujua utavaa nguo mpya uslay kwenye sikukuu kalikua burudani sana.
Karibu Sikukuu hii nikununulie mimi
 
Back
Top Bottom