Nimetapeliwa elfu hamsini (50,000/-)na huyu dada tuliyeheshimiana sana, nimfanye nini?

Nimetapeliwa elfu hamsini (50,000/-)na huyu dada tuliyeheshimiana sana, nimfanye nini?

Umeingia mjini leo na gari za maparachichi nini?
Mjini huwa hatukopeshi wanawake mkuu
 
Mtumie msg kuwa hela yako ingeweza kukuua umejifunza kitu kutoka kwake hivyo unamuomba msamaha kwa yaliyotokea kuqnzia leo hautamdai hiyo hela tena na Wala hauna chuki na yeye tuendelee na maisha ya kawaida tu ya Kila siku as if hakunaga kitu kibaya kilitokea then jione wewe ndo mshindi was Hilo Jambo japo umepigwa na kitu kizito maana ukiendelea atakuja kukupotezea pakubwa pengine kukuharibia fyucha bure

Sent from my MI PLAY using JamiiForums mobile app
Aisee sio mimi, lazima niendelee, we toa mbinu za kimafia. Mimi ni Putin mkuu sio Sadam Husein
 
Khali gani JF, wanamfungo nawatakia ufungaji mwema,

Jana nimenusurika kuitiwa mwizi na huyu dada. Niliyemuamini sanaaa, na niliyemheshimu sana. Alikuja analia nimkope 40k, card yake ya bank ili crack na home walimuambia after 4 days watamtumia hela.

Nikatoa 50k kwa bahati mbaya mfukoni wakati natoa akaona. Akasema niongeze na hiyo nyingine atanilipa zote. Zimepita week nne wakati aliahidi siku nne tu.

Akasema wazee wake watamtumia 300k na atanilipa. Huyu binti sio kuwa kwao hawana hela, wana hela sana tu na hiyo kunikopa ni kutokana na card yake ya bank kupata matatizo.

Basi bhana na kweli after siku nne akatumiwa laki 4. Na muamala akanionesha kuwa kesho yake atanitumia 50k yangu. Nikasubiri kesho aitume ukizingatia hata mwenyewe nilikuwa vibaya kiuchumi.

Mpaka saa 4 usiku hakuna muamala, natuma txt hajibu, simu hapokei. Tunakaa jirani tu si huwa tunaonana sometimes, tukionana salamu hatoi yaani alinichunia.

Nikamfuata hostel kwake, cha ajabu nilipogusia suala la hela na kumuambua nina shida mno, akanibadilikia mpaka sauti. Na akaanza kunikoromea, uvumilivu ukanishida nikaja juu, akaanza kuita mwizi serious kabisa.

Uzuri nina mbio sana, nikaepuka kisanga kile, akaanza kutangaza kwa watu kuwa mimi jogoo hapandi mtungi. Na wakati nilimheshimu na tuliheshimiana kama kaka na dada tu.

Nimeumia sana japo ni muda kidogo umepita, kwa nini wema wangu unaniponza? Nipeni approach nzuri ya kumfanyia umafia (si kumbaka) huyu mtu.

NB: Sikuwahi kuonesha hisia wala viashiria vyovyote vya kumtaka kimapenzi, tuliheshimiana na tulikuwa na mipaka.
Achana naye. Hamsini ndio imeishakwenda hiyo. Kama aliweza kufikia Hatua ya kukuitia Mwivi, alikuwa Hana Nia ya kukurudishia Hela Yako. Ni Mzikaji. Mnyamazie na Usonge mbele. Akiona huna habari atajileta TU Mwenyewe...
 
Mkuu vipi Sasa maana amekutangaza huwezi mambo
Sio mbaya. Mdomo ni wake ana haki hiyo. Kiukweli nimeshangaa sana. Sijawahi hata kumgusia suala la mahusiano, achilia mbali hata kumvulia viatu sijawahi.
 
Asa ze korofi linashindwa na mambo madogo madogo ivi daaaah
 
Back
Top Bottom