Zee Korofi
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 1,604
- 1,430
- Thread starter
- #181
Sio rahisi hivyoPole sana, achana nae fanya mambo mengine...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio rahisi hivyoPole sana, achana nae fanya mambo mengine...
Huna cha kumfanya Zee KorofiSio rahisi hivyo
Nishapata cha kumfanya, uliza kipi!Huna cha kumfanya Zee Korofi
Toa muongozo...Nishapata cha kumfanya, uliza kipi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we' jamaa balaa tupu. Eti toa muongozoToa muongozo...
Hapa sii sawa... Kuna kitu wataalamu filosopi wanakiita "hasty generalization" yaani unatumia mfano wa wachache kuhukumu wengi....Pole mkuu !!! mwanamke ukimuazima hela ye anachukulia umempa io hela samehe anza moja mm nshajiapizq hata nimkute demu hospital anikope pesa qnunue vidonge simpi ata anioneshe cheki ya bank simpi simpiiiiiiiii
Kivipi?Mzee mwenzangu hukusoma nyakati tu hizo wiki 4 alikuwa teyari kukulipa deni lako ni wewe tu
Serious unaonekana nawe ndio wale wale. Unaonekana tapeli tapeli hivi
Mwanamke akikuzarau anakuzarau kweli kweli. Niishie hapo.Khali gani JF, wanamfungo nawatakia ufungaji mwema,
Jana nimenusurika kuitiwa mwizi na huyu dada. Niliyemuamini sanaaa, na niliyemheshimu sana. Alikuja analia nimkope 40k, card yake ya bank ili crack na home walimuambia after 4 days watamtumia hela.
Nikatoa 50k kwa bahati mbaya mfukoni wakati natoa akaona. Akasema niongeze na hiyo nyingine atanilipa zote. Zimepita week nne wakati aliahidi siku nne tu.
Akasema wazee wake watamtumia 300k na atanilipa. Huyu binti sio kuwa kwao hawana hela, wana hela sana tu na hiyo kunikopa ni kutokana na card yake ya bank kupata matatizo.
Basi bhana na kweli after siku nne akatumiwa laki 4. Na muamala akanionesha kuwa kesho yake atanitumia 50k yangu. Nikasubiri kesho aitume ukizingatia hata mwenyewe nilikuwa vibaya kiuchumi.
Mpaka saa 4 usiku hakuna muamala, natuma txt hajibu, simu hapokei. Tunakaa jirani tu si huwa tunaonana sometimes, tukionana salamu hatoi yaani alinichunia.
Nikamfuata hostel kwake, cha ajabu nilipogusia suala la hela na kumuambua nina shida mno, akanibadilikia mpaka sauti. Na akaanza kunikoromea, uvumilivu ukanishida nikaja juu, akaanza kuita mwizi serious kabisa.
Uzuri nina mbio sana, nikaepuka kisanga kile, akaanza kutangaza kwa watu kuwa mimi jogoo hapandi mtungi. Na wakati nilimheshimu na tuliheshimiana kama kaka na dada tu.
Nimeumia sana japo ni muda kidogo umepita, kwa nini wema wangu unaniponza? Nipeni approach nzuri ya kumfanyia umafia (si kumbaka) huyu mtu.
NB: Sikuwahi kuonesha hisia wala viashiria vyovyote vya kumtaka kimapenzi, tuliheshimiana na tulikuwa na mipaka.
Na ndio maana ukaitwa fundi simu. Mafundi wengi km wewe ni matapeli tapeli hata sura zenu zimekaa kitapeli tu, achilia mbali macho yenu[emoji23]Nilishawahi kukugonga bila kukulipa wewe shoga?nimewahi kukutapeli kwa lipi?
Anakudharau kweli kweli? Hiyo hata kwa mwanaume ipo. Sio kwa mwanamke pekee.!Mwanamke akikuzarau anakuzarau kweli kweli. Niishie hapo.
Hapo issue ni kudharau calls na texts zako. Anyway mpe kama mwezi hivi.Duh
Hii imenikuta na mm
Nilimkopesha tareh 28/03/2022 demu fulan daktari.
Tunafahamiana sna na ni family frend alinihaid pesa atanirudiahia tareh 10/04/2022
Mpaka leo hii yuko kimya sms hajibu wala.simu hapokei