Nimetapeliwa elfu hamsini (50,000/-)na huyu dada tuliyeheshimiana sana, nimfanye nini?

Nimetapeliwa elfu hamsini (50,000/-)na huyu dada tuliyeheshimiana sana, nimfanye nini?

Ulikosea Sana kufata mwanamke hostel kwake kumdai pesa yako.

Alichukulia ulikuja kwa Shari maana sio mahala mlikopeania pesa.

Nae akahamua kujihami kwa Shari zaidi.
Hapana, sikwenda kwa shari, hela nilimpea hostel pia.
 
Kila baada ya siku 2, kuna uzi wa mtu kulia hapa kuwa aliyemkopesha anamkwepa, kazima simu, hajibu SMS lakini watu wanaendelea kukopesha tu. Mi nawashangaa. Mi mwenyewe nilikopesha mtu na sikupata kulipwa hela yangu nyingi tu. Kuanzia wakati huo nikaacha kukopesha.
Alikulipa kiasi au hakulipa hata kidogo?
 
Wanawake huwa hawakopeshwi,na ukimkopesha hakikisha unamkopesha ela ambayo haitakuathiri au uwe tayari kulipwa kwa namna ambayo wanaijuaga wao.Ukishamkopesha wakipata ela wanakua wachungu sana kurudisha deni.
 
Utapeli umezidi sasa 🤣🤣 jana kuna member humu alitapeliwa 5000, wewe 50,000, nasubiri wa 500,000 na 5000,000.
 
Back
Top Bottom