THE SHADOW ONE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,201
- 1,974
Yeye alikuwa anatumiwa hela 300k kesho yake. Huyo mtumaji alishindwa vp kumtumia hela kwa ajili ya kutengeneza card ?? Au labda kuna ajenda binafsi kati yako na wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini maana ya chuma cha Mjerumani mkuu?Dunia haishi vituko.
Ni yangu mzee, hata ikiwa 10k huwa haiendi bure. Sina hela ya kuchezea, wewe kama unayo kivyako.Tafuta hela bwasheee, elfu 50 sio pesa ya kumfanya mwanaume afungue thread JF.
Heshima tafadhaliZee korofi la michongo au maboksi
Samehe, tafuta nyingineeNi yangu mzee, hata ikiwa 10k huwa haiendi bure. Sina hela ya kuchezea, wewe kama unayo kivyako.
Sawa kakaSawa ila punguza jazba umeomba solution tegemea kila aina ya maamuzi
Sawa kaka
Sawa ni yako, lakini bado hukuwa na sababu ya kuanzisha uzi.Ni yangu mzee, hata ikiwa 10k huwa haiendi bure. Sina hela ya kuchezea, wewe kama unayo kivyako.
wengi washakufa kwa staili iyo akiwemo mwanangu masele.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zee korofi mzito Sana..jiongeze huyo alitaka kupay in kind sema wewe unakomaa in cash
unachagua kukimbia kifo ama kusubiri kifo?Naona ukikimbia ndo kwanza unawaaminisha kwamba wewe ni mwizi…
Alitka usimdai hela umuombe chezo, mambo yaisheKhali gani JF, wanamfungo nawatakia ufungaji mwema,
Jana nimenusurika kuitiwa mwizi na huyu dada,
Niliyemuamini sanaaa, na niliyemheshimu sana,
Alikuja analia nimkope 40k, card yake ya bank ili crack na home walimuambia after 4 days watamtumia hela.
Nikatoa 50k kwa bahati mbaya mfukoni wakati natoa akaona,
Akasema niongeze na hiyo nyingine atanilipa zote,
Zimepita week nne wakati aliahidi siku nne tu,
Akasema wazee wake watamtumia 300k na atanilipa.
Huyu binti sio kuwa kwao hawana hela, wana hela sana tu na hiyo kunikopa ni kutokana na card yake ya bank kupata matatizo,
Basi bhana na kweli after siku nne akatumiwa laki 4,
Na muamala akanionesha kuwa kesho yake atanitumia 50k yangu,
Nikasubiri kesho aitume ukizingatia hata mwenyewe nilikuwa vibaya kiuchumi,
Mpaka saa 4 usiku hakuna muamala, natuma txt hajibu, simu hapokei,
Tunakaa jirani tu si huwa tunaonana sometimes, tukionana salamu hatoi yaani alinichunia,
Nikamfuata hostel kwake, cha ajabu nilipogusia suala la hela na kumuambua nina shida mno, akanibadilikia mpaka sauti,
Na akaanza kunikoromea, uvumilivu ukanishida nikaja juu, akaanza kuita mwizi serious kabisa,
Uzuri nina mbio sana, nikaepuka kisanga kile, akaanza kutangaza kwa watu kuwa mimi jogoo hapandi mtungi.
Na wakati nilimheshimu na tuliheshimiana kama kaka na dada tu,
Nimeumia sana japo ni muda kidogo umepita, kwa nini wema wangu unaniponza?
Nipeni approach nzuri ya kumfanyia umafia(si kumbaka) huyu mtu. Nataka aumie iwe physically au mentally
NB: Sikuwahi kuonesha hisia wala viashiria vyovyote vya kumtaka kimapenzi, tuliheshimiana na tulikuwa na mipaka.
tulia ashakuzid akil uyo utapigwa pesa zengine kifala we potezeaSawa ila nataka mbinu
nan anapenda kukopesha thubutuMnaopenda kukopesha, endeleeni lakini msilete hapa malalamiko.
nan anapenda kukopesha thubutu
Dah..... Simpendi .......mara nyingi huhusiana na jogoo pamoja na mtungi wake🤣🤣🤣🤣🤭Unaelewa maana ya 'simpendi'? Hanivutii kwa lolote