Nimetapeliwa elfu hamsini (50,000/-)na huyu dada tuliyeheshimiana sana, nimfanye nini?

Umeingia mjini leo na gari za maparachichi nini?
Mjini huwa hatukopeshi wanawake mkuu
 
Aisee sio mimi, lazima niendelee, we toa mbinu za kimafia. Mimi ni Putin mkuu sio Sadam Husein
 
Achana naye. Hamsini ndio imeishakwenda hiyo. Kama aliweza kufikia Hatua ya kukuitia Mwivi, alikuwa Hana Nia ya kukurudishia Hela Yako. Ni Mzikaji. Mnyamazie na Usonge mbele. Akiona huna habari atajileta TU Mwenyewe...
 
Mkuu vipi Sasa maana amekutangaza huwezi mambo
Sio mbaya. Mdomo ni wake ana haki hiyo. Kiukweli nimeshangaa sana. Sijawahi hata kumgusia suala la mahusiano, achilia mbali hata kumvulia viatu sijawahi.
 
Asa ze korofi linashindwa na mambo madogo madogo ivi daaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…