Nimetapeliwa elfu hamsini (50,000/-)na huyu dada tuliyeheshimiana sana, nimfanye nini?

umeongea point lakini pia naomba nikurishe kati kwa point uliotoa apo ni km umeshinda mjadala

ni kweli dunia ina mambo mengi lkn usijaribu kutaka kujua kila kitu utakuwa MASTET OF THE NONE

Kuna wanawake wamevurugwa tena kwa wingi wao naweza sema wote yaan akishakukopa ata uende kwa mama yake ataanzisha timbili lengine ndio hapo inaibuka io misunderstanding fake kudai mlipishana maneno akati yy ndio alilazimisha mwenda huko

mfano mm niliwah pigana na mwanaume kisa mwanamke na mtaan wote waliadithiwa ivyo lkm ukwel ni kwamba yule jamaa ndio alianza kunipiga mm nikarudisha
 
Ulitakiwa kumshtukia pale alipokwambia kua "Niongeze na hiyo iwe elfu 50" yeye aliomba 40k alipoonyesha tamaa ya kutaka 50k ilitakiwa umshtukie hapo hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…