Nimetapeliwa elfu hamsini (50,000/-)na huyu dada tuliyeheshimiana sana, nimfanye nini?

Nimetapeliwa elfu hamsini (50,000/-)na huyu dada tuliyeheshimiana sana, nimfanye nini?

Hapa sii sawa... Kuna kitu wataalamu filosopi wanakiita "hasty generalization" yaani unatumia mfano wa wachache kuhukumu wengi....

Hizo zinabaki kama isolated incidences..... Hata mimi siamini sana katika urafiki wa kushibana kati ya me na ke, mara nyingi huleta shida!!!!

Hata wanaume wapo AKUKUOMBA UMKOPESHE HELA kurudisha mbinde na WANAHISI sisi wanawake hela zetu hazina kazi hivi au tumehongwa... YAANI DUNIA HII INA KILA TAKATAKA....

Tafuta mtu wake wa karibu akaongee NAYE huenda ni misunderstanding za hapa na pale tu...
umeongea point lakini pia naomba nikurishe kati kwa point uliotoa apo ni km umeshinda mjadala

ni kweli dunia ina mambo mengi lkn usijaribu kutaka kujua kila kitu utakuwa MASTET OF THE NONE

Kuna wanawake wamevurugwa tena kwa wingi wao naweza sema wote yaan akishakukopa ata uende kwa mama yake ataanzisha timbili lengine ndio hapo inaibuka io misunderstanding fake kudai mlipishana maneno akati yy ndio alilazimisha mwenda huko

mfano mm niliwah pigana na mwanaume kisa mwanamke na mtaan wote waliadithiwa ivyo lkm ukwel ni kwamba yule jamaa ndio alianza kunipiga mm nikarudisha
 
Ulitakiwa kumshtukia pale alipokwambia kua "Niongeze na hiyo iwe elfu 50" yeye aliomba 40k alipoonyesha tamaa ya kutaka 50k ilitakiwa umshtukie hapo hapo.
 
Back
Top Bottom