SimuhitajiNdio maana sipendi kuazima wanawake ela... Najua udhaifu wangu...
Huyo achana nae tu, au piga mzigo
Unaelewa maana ya 'simtaki na sina hisia naye'?Ushukuru hata umekopesha mdada ipo siku mtaelewana, huku tunakopwa tena sehemu nyeti ila hawarejeshi
Yaani ni ujinga ujinga tuHata wanaume. Kukopesha ni kama kamali. Wengi tumeacha kukopesha.
Mmmmh huo ni ujasiri wa kiwango cha juu sana.Hivi mtu kama huyo akikuitia mwizi na wewe ukagoma kukimbia ukakaa hapo hapo bila wasiwasi, wanamzengo wakija wanaweza kukuua???
Nyamaza kimya endelea na maisha kama vile hakijatokea kitu.Khali gani JF, wanamfungo nawatakia ufungaji mwema,
Jana nimenusurika kuitiwa mwizi na huyu dada,
Niliyemuamini sanaaa, na niliyemheshimu sana,
Alikuja analia nimkope 40k, card yake ya bank ili crack na home walimuambia after 4 days watamtumia hela.
Nikatoa 50k kwa bahati mbaya mfukoni wakati natoa akaona,
Akasema niongeze na hiyo nyingine atanilipa zote,
Zimepita week nne wakati aliahidi siku nne tu,
Akasema wazee wake watamtumia 300k na atanilipa.
Huyu binti sio kuwa kwao hawana hela, wana hela sana tu na hiyo kunikopa ni kutokana na card yake ya bank kupata matatizo,
Basi bhana na kweli after siku nne akatumiwa laki 4,
Na muamala akanionesha kuwa kesho yake atanitumia 50k yangu,
Nikasubiri kesho aitume ukizingatia hata mwenyewe nilikuwa vibaya kiuchumi,
Mpaka saa 4 usiku hakuna muamala, natuma txt hajibu, simu hapokei,
Tunakaa jirani tu si huwa tunaonana sometimes, tukionana salamu hatoi yaani alinichunia,
Nikamfuata hostel kwake, cha ajabu nilipogusia suala la hela na kumuambua nina shida mno, akanibadilikia mpaka sauti,
Na akaanza kunikoromea, uvumilivu ukanishida nikaja juu, akaanza kuita mwizi serious kabisa,
Uzuri nina mbio sana, nikaepuka kisanga kile, akaanza kutangaza kwa watu kuwa mimi jogoo hapandi mtungi.
Na wakati nilimheshimu na tuliheshimiana kama kaka na dada tu,
Nimeumia sana japo ni muda kidogo umepita, kwa nini wema wangu unaniponza?
Nipeni approach nzuri ya kumfanyia umafia(si kumbaka) huyu mtu. Nataka aumie iwe physically au mentally
NB: Sikuwahi kuonesha hisia wala viashiria vyovyote vya kumtaka kimapenzi, tuliheshimiana na tulikuwa na mipaka.
Huu ungese ndio sitaki kuusikiaangalau dume mtakoromeana kiume na watu wakijq kuamulia kuna usawa
ila demu lazima uoge mvua ona apo mchizi kaitiwa mwiz mara jogoo awik ugomv wa demu na dume hamna balance no fair demu anabebwa
Sio lazima sasa, sijam feel.[emoji23][emoji23][emoji23]
Wapi huko wanakubali mkopo ngiche
Huyu domo zege katongozwa na bibie hatongozeki ikabidi apigwe mkopo ili akili ichangamke bado napo kichwa hakikufunguka kazidi kuwa mzitoo ikabidi binti amwambie tu ni kibaka na Sio rizikii...
Hakuna cha busaraHakika Swahiba. Japo nadhani atumie busara zaidi.
Unajua unakopatikana kwa hapa Dar?Tafuta upupu umwagie.
Unaelewa maana ya 'simpendi'? Hanivutii kwa loloteDah.....hili ndilo tatizo.....hata hilo la kuhusu mtungi na jogoo linaweza kuwa kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bonge la idea, nimeipenda hii, nai bold tayari kwa majaribio.Kwa haraka huyo ana njaa, hivyo tumia mtu umpatie number yake amtongoze
Akijaa Mwana akupe location watakapokutana uende, wakiingia rum Man akupe dkk kadhaa uingie mean atakuwa amemchojoa nguo we piga picha afu gusa mbele yao
Atakutafuta[emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa mkuu, ila hayo yangu nitakayofanya yatakuwa ni ya kinyama lakini.Nyamaza kimya endelea na maisha kama vile hakijatokea kitu.
Siku akijilengesha kwenye 18 unafanya yako
Kwangu hii hela itamgharimu sana.Mwanamke akishakuwa rafiki achilia mbali mpenzi, ukimkopesha ujue hairudi
Usijiapishe sana. Hela ndogo hiyo isikuponze. Achana nayeKwangu hii hela itamgharimu sana.
Kama anapanda kweli kula tu mzigo yaishe!..akaanza kutangaza kwa watu kuwa mimi jogoo hapandi mtungi.
Kabisa, ila toa mbinu