Si kila wkati unatumia privateChai nzito halafu haina sukari. Uliibiwa kwenye basi wakati ulikua unasafili na private. Ulimwambia 150 ili akatae wakat yy ndio bei yake
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Tuliosoma Cuba tunaweza jua kwa haraka maudhui ya nyuzi km hizi....[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mnataka kusemaje wazee
Sometimes kuficha ujinga wako ni kitu kizuri, kinakusitiri kwa akili chache mtu unazokua nazo! Wapi nimesema nimesafiri kwa Private?Chai nzito halafu haina sukari. Uliibiwa kwenye basi wakati ulikua unasafili na private. Ulimwambia 150 ili akatae wakat yy ndio bei yake
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Shukrani sana sanaPole mkuu
Sina utoto WA level yenuTuliosoma Cuba tunaweza jua kwa haraka maudhui ya nyuzi km hizi....