A
Akatuma? Baadaye aliwasiliana na Jackan FX, ambaye alimwambia atume fedha nyingine ili aweze kurudishiwa mara mbili ya kile alichowekeza.
Aise ujinga ni flusa, una investment pesa ndefu hivyo, bila kuwa na Mahalia ya kutosha.Kuna tatizo la watu hawa wanaojifanya matajiri kupitia Forex na kuigiza maisha ya kifahari?
Ukweli ni kwamba kuna mmoja alituaminisha sana. Mimi na rafiki yangu tukachanga shilingi milioni 5 na kumtumia, tukisubiri faida kama alivyotuahidi.
Baadaye akaunti yake ya Instagram ikatoweka ghafla. Hali hiyo ilisababisha mgogoro kati yangu na rafiki yangu, kwani alidhani nimemfanyia utapeli.
Baadaye aliwasiliana na Jackan FX, ambaye alimwambia atume fedha nyingine ili aweze kurudishiwa mara mbili ya kile alichowekeza.
okay,Kuna tatizo la watu hawa wanaojifanya matajiri kupitia Forex na kuigiza maisha ya kifahari?
Ukweli ni kwamba kuna mmoja alituaminisha sana. Mimi na rafiki yangu tukachanga shilingi milioni 5 na kumtumia, tukisubiri faida kama alivyotuahidi.
Baadaye akaunti yake ya Instagram ikatoweka ghafla. Hali hiyo ilisababisha mgogoro kati yangu na rafiki yangu, kwani alidhani nimemfanyia utapeli.
Baadaye aliwasiliana na Jackan FX, ambaye alimwambia atume fedha nyingine ili aweze kurudishiwa mara mbili ya kile alichowekeza.
Dah mkuu hicho kiasi cha hela nyingi sana. Million 5 parefu sana. Pole sana mkuu usirudie tena kosa.Kuna tatizo la watu hawa wanaojifanya matajiri kupitia Forex na kuigiza maisha ya kifahari?
Ukweli ni kwamba kuna mmoja alituaminisha sana. Mimi na rafiki yangu tukachanga shilingi milioni 5 na kumtumia, tukisubiri faida kama alivyotuahidi.
Baadaye akaunti yake ya Instagram ikatoweka ghafla. Hali hiyo ilisababisha mgogoro kati yangu na rafiki yangu, kwani alidhani nimemfanyia utapeli.
Baadaye aliwasiliana na Jackan FX, ambaye alimwambia atume fedha nyingine ili aweze kurudishiwa mara mbili ya kile alichowekeza.
Nikiwa Chuo Dodoma, nilikuta jamaa anauza simu Facebook. Enzi izo Smart za Huawei zipo top Tanzania.Yan mtu unatuma Hela kirahisirahisi tu,tena kwenye mitandao,pole yako