Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Mungu nifundishe kunyamazaHutaki utajiri?🤗🤗🤗🤗🤗

Now you have learned in the hard wayKuna tatizo la watu hawa wanaojifanya matajiri kupitia Forex na kuigiza maisha ya kifahari?
Ukweli ni kwamba kuna mmoja alituaminisha sana. Mimi na rafiki yangu tukachanga shilingi milioni 5 na kumtumia, tukisubiri faida kama alivyotuahidi.
Baadaye akaunti yake ya Instagram ikatoweka ghafla. Hali hiyo ilisababisha mgogoro kati yangu na rafiki yangu, kwani alidhani nimemfanyia utapeli.
Baadaye aliwasiliana na Jackan FX, ambaye alimwambia atume fedha nyingine ili aweze kurudishiwa mara mbili ya kile alichowekeza.
Hapo sawa, ndio maana wanatapeliwa.Forex inayo zungumziwa hapa ni tofauti na hiyo forex ya ununuaji na uuzaji wa fedha halisi.
hii forex ni algorithm tu, ndio maana ukitazama ubadilikaji wake, ni tofauti na wa soko la fedha
Kama shibela anavyo taka kuniibia hisia zanguHapo sawa, ndio maana wanatapeliwa.
Kipindi Ka Ontario kanawatapeli Wana jf na hizo habari za Forex ulikuwa umeshazaliwa Gen Z?Forex inayo zungumziwa hapa ni tofauti na hiyo forex ya ununuaji na uuzaji wa fedha halisi.
hii forex ni algorithm tu, ndio maana ukitazama ubadilikaji wake, ni tofauti na wa soko la fedha
Nilikuwa around, ila nilikuwa chalii tuKipindi Ka Ontario kanawatapeli Wana jf na hizo habari za Forex ulikuwa umeshazaliwa Gen Z?
Nyie ni wajinga sana! yani complete nonsense unaibiwa halafu unarudi ili uibiwe tenaKuna tatizo la watu hawa wanaojifanya matajiri kupitia Forex na kuigiza maisha ya kifahari?
Ukweli ni kwamba kuna mmoja alituaminisha sana. Mimi na rafiki yangu tukachanga shilingi milioni 5 na kumtumia, tukisubiri faida kama alivyotuahidi.
Baadaye akaunti yake ya Instagram ikatoweka ghafla. Hali hiyo ilisababisha mgogoro kati yangu na rafiki yangu, kwani alidhani nimemfanyia utapeli.
Baadaye aliwasiliana na Jackan FX, ambaye alimwambia atume fedha nyingine ili aweze kurudishiwa mara mbili ya kile alichowekeza.
mzima mzima kama chatu nimeze bellaSio hisia Tu mpaka uvulana wako nitakuibia🤗🤗🤗🤗
Ili uweze kutapeliwa nimpaka uwe na tamaa ndani yako. Forex is like aviaator game ,, sasa kama mtu kakuchezea ikapigwa atakulipa nini?Kuna tatizo la watu hawa wanaojifanya matajiri kupitia Forex na kuigiza maisha ya kifahari?
Ukweli ni kwamba kuna mmoja alituaminisha sana. Mimi na rafiki yangu tukachanga shilingi milioni 5 na kumtumia, tukisubiri faida kama alivyotuahidi.
Baadaye akaunti yake ya Instagram ikatoweka ghafla. Hali hiyo ilisababisha mgogoro kati yangu na rafiki yangu, kwani alidhani nimemfanyia utapeli.
Baadaye aliwasiliana na Jackan FX, ambaye alimwambia atume fedha nyingine ili aweze kurudishiwa mara mbili ya kile alichowekeza.
Aviator nayo imepita sana na hela za wakamalia😀😀😀Ili uweze kutapeliwa nimpaka uwe na tamaa ndani yako. Forex is like aviaator game ,, sasa kama mtu kakuchezea ikapigwa atakulipa nini?
tuliwoanya apa hawakuskia
Pole sanaWewe unabahati umepoteza mil 5, miaka kama mitano au sita nilipoteza $25,000/- kwa mambo hayo ya online business za Forex, ndipo nikaamini hakuna short cut kwenye mafanikio, kila kitu kina mchakato wake.