HOJA Nimetapeliwa Milioni 5 na Tapeli wa Forex, watu wajihadhari. Mamlaka zichukue hatua

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Now you have learned in the hard way
 
Nyie ni wajinga sana! yani complete nonsense unaibiwa halafu unarudi ili uibiwe tena
 
Ili uweze kutapeliwa nimpaka uwe na tamaa ndani yako. Forex is like aviaator game ,, sasa kama mtu kakuchezea ikapigwa atakulipa nini?
 
Ila aisee nimecheka SANA

Mlivyopotezan 5M kuna muhuni akaona fursa akawaambia tumeni tena mtapata faida mara mbili

Kwel utajir upo bongo n vile hatuja tanua akili zetu

Ungeambiwa baba yako anaumwa inahtajika laki TU ungetuma 70 TU
 
Wewe unabahati umepoteza mil 5, miaka kama mitano au sita nilipoteza $25,000/- kwa mambo hayo ya online business za Forex, ndipo nikaamini hakuna short cut kwenye mafanikio, kila kitu kina mchakato wake.
Pole sana

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…