HOJA Nimetapeliwa Milioni 5 na Tapeli wa Forex, watu wajihadhari. Mamlaka zichukue hatua

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
forex is really sema tuu machalii mmepitia njia ambayo sio sahihi
 
Nilikua na nia ya kujifunza forex.

Kumbe ni utapeli 🤗
 
Wewe unabahati umepoteza mil 5, miaka kama mitano au sita nilipoteza $25,000/- kwa mambo hayo ya online business za Forex, ndipo nikaamini hakuna short cut kwenye mafanikio, kila kitu kina mchakato wake.
Mkuu, so forex ni utapeli?
 
Haya mambo yameshaongelewa sana humu mpaka vichwa vinauma.Tena sasa hivi wakiwatapeli wawe wanawatoboa na speaker ndio mtaelewa.
 
Wewe na huyo bwege mwenzio ni pipa na mfuniko! Kwa hiyo mlituma hela nyingine tena mkapewa mara mbili yake ?
 
Baadaye aliwasiliana na Jackan FX ..... huyu ndo master mind
 
15 September 2026
Nairobi, Kenya

Bidco Boss Vimal Shah Narrates How He Lost Sh 102M to Former CMA Chairman


View: https://m.youtube.com/watch?v=1ArfHQAftKw
Bidco Africa chairman and founder Vimal Shah has told the court how he transferred KShs. 102.4 million to BNB Kenya Limited in a foreign currency deal after being introduced to his business associate, former Capital Markets Authority chairman Nick Nesbitt.

Shah testified that he trusted Nesbitt, who assured him that USD745,000 would be delivered to Bidco’s account the following day, but no money arrived on the agreed value date of May 24, 2023.

He further told the court that he would not have transferred the money had Nesbitt not introduced the deal and vouched for his partner.

Source : Court Helicopter
 
14 September 2026
Nairobi, Kenya

Bidco Founder Cornered as Defence Exposes Missing Documents in KShs 102M Deal

View: https://m.youtube.com/watch?v=BzHQRCHEM2gBidco founder Vimal Shah faced intense cross-examination as the defence lawyer challenged the evidence surrounding the KShs. 102.4 million trade finance deal with B&B Kenya Limited.

The lawyer questioned the documents linking Nick Nesbitt to the transaction, including his role as a partner and the absence of his name in the agreement.

The cross-examination also examined the movement of the funds, the alleged transfer of money to Pashin We See Group Limited, and whether the documents presented in court establish Nesbitt's involvement in the alleged fraud.
Source : Court Helicopter
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…