Nimetapeliwa na fundi wa kutengeneza SAUNA kiasi cha TZS 3,500,000

Nimetapeliwa na fundi wa kutengeneza SAUNA kiasi cha TZS 3,500,000

Captain 22175

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2018
Posts
304
Reaction score
494
Habari wakuu, fundi wa kutengeneza sauna , hyu niliingia nae makubaliano anitengenezee sauna na nikamlipa tzs 3,500,000 lakini toka wakati huo mwaka Jana mwezi October anapiga chenga na hajawahi kufanya lolote.

Nimetumia njia nyingi kudai pesa yangu lakini haijawahi kuleta mafanikio Zaid ya kuongopewa kila iitwayo leo.

Sasa nimemjulisha rasm kwamba sitomdai tena lakini sijamuachia Mungu.

Risiti ya malipo nimeambatanisha na picha yake japo ni ya muda mrefu kidogo. Nimeweka hyo taarifa ili mwingine yeyote in case basi awe makini nae

IMG-20260130-WA0013.jpg
 
Hakuna kitu kinanitia hofu kama kutapeli mtu. Juzi nilikuwa nanunua rambo ya 500 kuwekea matunda, nikajaribu kuivuta mwenyewe ikachanika. Mmiliki wa duka akanitolea nyingine, nikampa elfu 1, akanirudishia 500. Roho ilinisuta kuona kama hasara hiyo ni yangu ntakuwa nimemtapeli, hivyo nikampa 500 iliyobaki.
 
Hakuna kitu kinanitia hofu kama kutapeli mtu. Juzi nilikuwa nanunua rambo ya 500 kuwekea matunda, nikajaribu kuivuta mwenyewe ikachanika. Mmiliki wa duka akanitolea nyingine, nikampa elfu 1, akaniwarudishia 500. Roho ilinisuta kuona kama hasara hiyo ni yangu, hivyo nikampa 500 iliyobaki.
Chadema ndivyo tulivyo
 
Back
Top Bottom