Nimetapeliwa na fundi wa kutengeneza SAUNA kiasi cha TZS 3,500,000

Nafikilia kumtengenezea jinai kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu. Maana matapeli wengi hua wanajificha kwenye kusema haya ni madai. Sasa better pesa ipotee na yeye apotelee jela huko
Hii ukiende polisi watakataa kwa kuwa suala hili lina msingi wa madai. Sheria ilivyo ni mmalizane kwenye madai kabla ya kufungua jinai. Njia za umafya ndio zinaweza mtingisha.
 
Hta sijui ila ndio pesa alitaka
Sometimes mteja hujiponza mwenyewe na kuingia kwenye mazingira ya kutapeliwa kwa kujitakia!

Pengine huyo fundi alikutajia bei inayotosheleza mahitaji kamili ya hiyo sauna. Wewe ukaleta ujuaji na kulialia huku ukimuoneshea hiyo M3.5 je, ungekuwa wewe ndo mpokeaji ungeikataa?

Kikawaida ilitakiwa uombe ufafanuzi wa gharama za mahitaji alipokutajia bei halisi, wewe ukakurupuka kubagain kitonga huku ukimuonesha hela.

Kaa nae chini mkubaliane upya umuongezee hela na ukubali kuwa mpole kumvumilia atengeneze mdogomdogo make kumbuka hela yako ya awali kesha kula.
Na utarajie kupata kitu chini ya kiwango.
 
Hii ukiende polisi watakataa kwa kuwa suala hili lina msingi wa madai. Sheria ilivyo ni mmalizane kwenye madai kabla ya kufungua jinai. Njia za umafya ndio zinaweza mtingisha.
Good idea. Madai stak labda umafia tu
 
Ukar
Sometimes mteja hujiponza mwenyewe na kuingia kwenye mazingira ya kutapeliwa kwa kujitakia!

Pengine huyo fundi alikutajia bei inayotosheleza mahitaji kamili ya hiyo sauna. Wewe ukaleta ujuaji na kulialia huku ukimuoneshea hiyo M3.5 je, ungekuwa wewe ndo mpokeaji ungeikataa?

Kikawaida ilitakiwa uombe ufafanuzi wa gharama za mahitaji alipokutajia bei halisi, wewe ukakurupuka kubagain kitonga huku ukimuonesha hela.

Kaa nae chini mkubaliane upya umuongezee hela na ukubali kuwa mpole kumvumilia atengeneze mdogomdogo make kumbuka hela yako ya awali kesha kula.
Na utarajie kupata kitu chini ya kiwango.
Nikae nae chini wapi na nimekuambia amekimbia. Ningekua najua kwa kumpata mbona angeshaisoma namba.

Hyo 3.5 ilikua ni ufungaji materials like mbao coz machine nlishanunua
 
Back
Top Bottom