Habari wakuu, fundi wa kutengeneza sauna , hyu niliingia nae makubaliano anitengenezee sauna na nikamlipa tzs 3,500,000 lakini toka wakati huo mwaka Jana mwezi October anapiga chenga na hajawahi kufanya lolote.
Nimetumia njia nyingi kudai pesa yangu lakini haijawahi kuleta mafanikio Zaid ya kuongopewa kila iitwayo leo.
Sasa nimemjulisha rasm kwamba sitomdai tena lakini sijamuachia Mungu.
Risiti ya malipo nimeambatanisha na picha yake japo ni ya muda mrefu kidogo. Nimeweka hyo taarifa ili mwingine yeyote in case basi awe makini nae
View attachment 3545408