Captain 22175
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 304
- 494
Asante mkuuPole sana
Kabisa mkuu upo sahihiNAMI sikushauri umwachie Mungu
Namfanyia kazi kimya kimya mkuu atajaa tuHuyo kwa muonekano tu sio fundi, ni tapeli na mwizi...peleka polisi. 3.5M jua kali hili....
Ooh , chumba cha mvuke like vile vya wakat wa Corona mkuuSauna ndo nini?
HakikaPeleka polisimboga mboga hilo jambazi.
Mteke mbake kama ccm wafanyavyoNamfanyia kazi kimya kimya mkuu atajaa tu
Hapo pesa yake na atageuziwa kesi.Mteke mbake kama ccm wafanyavyo
Chadema ndivyo tulivyoHakuna kitu kinanitia hofu kama kutapeli mtu. Juzi nilikuwa nanunua rambo ya 500 kuwekea matunda, nikajaribu kuivuta mwenyewe ikachanika. Mmiliki wa duka akanitolea nyingine, nikampa elfu 1, akaniwarudishia 500. Roho ilinisuta kuona kama hasara hiyo ni yangu, hivyo nikampa 500 iliyobaki.
Mkuu nilikutanishwa na mtu ninaemuamini sana . Nadhani siku ya kutapeliwa ilikua imenifika tuPole
Ila kwanini ulimlipa pesa yote kirahisi hivyo.
Lingine kazi zake au mauzo yake uliyaonea wapi?
Lipo njianiMteke mbake kama ccm wafanyavyo