Nimetapeliwa na fundi wa kutengeneza SAUNA kiasi cha TZS 3,500,000

Ooh
 
Ila wewe jamaa ni mzembe sana, hapo ulimlipa hela ya nini? Vifaa au ufundi? Kama ni vifaa kwa nini umlipe badala ya kuongozana dukani
 
Malizana naye hapa hapa usimuachie Mungu
 
Wachaga kwa Utapeli na wewe usikute ulikua unaisimamia kwa Simu lazima ulizwe
Ilitakiwa uwepo personal akitaka gas unaenda unanunua akitaka Aluminium unaenda kuchukua unamletea akitaka saa unaenda kununua kwa kutengeneza hiyo sauna sioni mianya ya kuibiwa Ila wewe unatakiwa kukamatwa na kuwekwa Ndani kwa kosa la Uzembe
 
Pole sana mkuu, sema ulikosea kumlipa kabda ya kazi jifunze kwa hilo tena.

  • Kama mliweka maandish au ushahid wowote nenda mahakamani ukamfungulie kesi.
  • Ila usitumie ubabe wa kumkaba kitu au mali yake atakugeuka na wew ndo utamlipa.

But sijajua SAUNA ni nini? si unajua ushamba huwa hauishagi mkuu
 
Nafikilia kumtengenezea jinai kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu. Maana matapeli wengi hua wanajificha kwenye kusema haya ni madai. Sasa better pesa ipotee na yeye apotelee jela huko
 
Nafikilia kumtengenezea jinai kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu. Maana matapeli wengi hua wanajificha kwenye kusema haya ni madai. Sasa better pesa ipotee na yeye apotelee jela .

Sauna ni chumba au jengo dogo ambalo hupashwa moto hadi joto la juu (kawaida 70–100 °C) ili watu waweze kukaa ndani, kutoka jasho sana, na kupumzika. Asili yake ni Ufini (Finland), ambapo inaitwa "sauna" na ni sehemu muhimu sana ya utamaduni wao — watu wengi hufikiria sauna = joto kavu + mvuke kidogo unapotupa maji kwenye mawe moto (hiyo mvuke inaitwa löyly kwa Kifini).
 
Huo ndio utu mkuu
 
SAUNA kwa 3.5m?
Mbona hela ndogo sana hiyo, au material ulikuwa unanunua wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…