Nimetapeliwa na fundi wa kutengeneza SAUNA kiasi cha TZS 3,500,000

oky nimekuelewa ni sawa na kujifukiza.

Ila suara lako tafta mwanasheria akupe mwongozo mzuri. Mitaan ofis zao zipo nying tu
 
Utabarikiwa ssana.
 
oky nimekuelewa ni sawa na kujifukiza.

Ila suara lako tafta mwanasheria akupe mwongozo mzuri. Mitaan ofis zao zipo nying tu
Hapana sitaki tena hela yake ngoja akawahonge askal magereza wawe wanampatia chakula kizuri
 
Lipo njiani
Usijiamini sana.
Pengine yeye ndo kajipanga kukufanyia hivyo!

Kuwa makini make matapeli wazoefu kama huyo wanakuwaga na kundi lao la "KISODOMA"

Atakutatua linda kama njia ya kukuziba mdomo.

Sometimes hizi hela tunazo tafuta kwa jasho, inabidi tu mijamaa midwanzi kama hiyo ipite nazo.

Wanasemaga riziki mafungu saba, samehe saba mara sabini...!
 
Mfungulie kesi au tafuta mganga mzuri umtie adabu...,,.
 
Atakuwa ameitumia hiyo hela kwa matumizi mengine badala ya kununulia vifaa, na inawezekana kwa sasa hela hana, na hawezi kutengeneza bila vifaa ndio maana anakupiga chenga.
 
Never
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…