Nimetapeliwa na mtu aliyejitambulisha kama afisa Mikopo Mo Dewji Foundation

Nimetapeliwa na mtu aliyejitambulisha kama afisa Mikopo Mo Dewji Foundation

Uandishi wako unaashiria wewe ni mtu smart. Nasikitika kukutaarifu ya kuwa, wewe sio mtu smart na kwamba umetapeliwa kwa mbinu za kizamani sana.

Mo Dewji hana taasisi yoyote inayojihusisha na kutoa mikopo. Utaratibu wa upatikanaji wa mikopo unajulikana. Pole sana. Next time, kuwa makini na usipende njia za mkato.

Ndimi.

Kipagalo Masalakulwanga.​
 
Jamiiforum muweke na category ya kupiga watu wapuuzi makofi au hata fimbo. Kila siku watu wanapiga kelele hela za bure hakuna alafu na nyie mnatapeliwa kirahisi hivi.?? Yeye anatoa hela za mkopo kwann ww ndio unamtumia sasa
 
Hivi vitu havitokei Kwa nyani!, watu wengi wanakuja kukulaumu ila hawavai viatu vyako, kama unauwezo mtrace Kwa kua hiyo namba Kuna ndugu zake alishawahi kuwasiliana nao, au kama vipi mahakama ya mnyonge IPO we deal nae tu
 
Umeshapewa maelezo, unakwama wapi? Tuma hiyo 47k chap, ukiweza ongezea hata mara tatu yake ili upate mkopo mkubwa zaidi 😀 Ila wajinga hawajawahi kuisha, ndiyo maana matapeli nao hawaishi, hapo akipiga wajinga wengine 10 ana 820k bila jasho 😀
 
Back
Top Bottom