Nimetapeliwa na mtu aliyejitambulisha kama afisa Mikopo Mo Dewji Foundation

Nimetapeliwa na mtu aliyedai ni afisa mikopo wa Mo Dewji Foundation kwa kunilaghai nikope mikopo nafuu Kwa riba ndogo, ila nitoke dhamana ya asilimia 10. Nilitoa shs 35,000 na kulipa katika namba 0789 223 590 (Khatibu Khamis) na kuahidiwa kupewa mkopo wa shs laki 3, ndani ya muda mfupi.

Baada ya muda mfupi nililetewa meaeji ikinitaka niongeze Tshs 47,000 Ili itumike kufungua account ya mkopo na itareshwa pamoja na mkopo.

Mimi nimkopaji wa mitandaoni hivyo nilijiridhisha. Namba ya afisa imesajiliwa na Nida na ana kitambulisho cha hiyo taassisi daiwa.

Baada ya kujiridhisha kuwa nimeibiwa nilipiga simu kwa mtandao wangu (halotel) na wakaniambia hela imeshatolewa na kukata simu.

Maswali yangu
1) Jina la taassisi ni kubwa , je muhusika hana habari ya jina lake kutumika vibaya?
2) Kama kujiaminisha muhusika alinitumia video ya Mo akiinadi taasisi yake.
3). Hawa watu naweza kusaidiwaje na vyombo vya usalama kurudishiwa hela yangu?

Soma Pia: Warning: Utapeli wa kikundi wanajiita Mo Dewji Foundation

View attachment 3087819View attachment 3087821View attachment 3087820

View attachment 3087820
Wewe ni Kiazi Mbatata, Wajinga hamuishi, nyie ndo mnafanya Mataperi waendelee kuwepo...!

Yani Kuna Watu Akili ya kuvukia Barabara ndo waliojaaliwa nayo....!
 
😅 Jamaa atakua na shida akajua kapata DODO la 200,000/= faster faster

Mambo vp toxic kitambo sijakuo humu..
Wabongo tunaendekeza sana miteremko. Nahisi kukosa umakini pia kunachangia. Kwa akili ya kawaida, pesa ya mkopo kutoka kampuni kwanini 'deposit' iende kwa namba ya mtu binafsi.

Kwema kaka, mihangaiko ya dunia tu lakini nipo mzee.
 
Umetapeliwa kwa upumbavu wako Mo na Bakhresa wana tangaza sana hawatoi mikopo acha tamaa za kijinga uliona wapi mkopo utoe pesa ndo upate pesa kwa mkopo mdogo kama huo wajinga mtaliwa sana.na umezidi kuonesha ujinga wako Ku anika namba yako na address😁 😂🤣
 
Huwa nayaona sana haya matangazo facebook, sijawahi kufikiria kua kuna mbugila huwa zinaliwa vichwa kweli..

Ati anamtisha kua keshaongea na Mo 😂😂, braza umeongea na Mo kweli??
 
Wabongo tunaendekeza sana miteremko. Nahisi kukosa umakini pia kunachangia. Kwa akili ya kawaida, pesa ya mkopo kutoka kampuni kwanini 'deposit' iende kwa namba ya mtu binafsi.

Kwema kaka, mihangaiko ya dunia tu lakini nipo mzee.
Wakati mwingine UMASKINI, DHIKI, NJAA, SHIDA zinaweza kukupa UPOFU WA FIKRA..

All in all,
Nimefurahi kujua unaendelea vyemaa
 
Mkemi
Nimetapeliwa na mtu aliyedai ni afisa mikopo wa Mo Dewji Foundation kwa kunilaghai nikope mikopo nafuu Kwa riba ndogo, ila nitoke dhamana ya asilimia 10. Nilitoa shs 35,000 na kulipa katika namba 0789 223 590 (Khatibu Khamis) na kuahidiwa kupewa mkopo wa shs laki 3, ndani ya muda mfupi.

Baada ya muda mfupi nililetewa meaeji ikinitaka niongeze Tshs 47,000 Ili itumike kufungua account ya mkopo na itareshwa pamoja na mkopo.

Mimi nimkopaji wa mitandaoni hivyo nilijiridhisha. Namba ya afisa imesajiliwa na Nida na ana kitambulisho cha hiyo taassisi daiwa.

Baada ya kujiridhisha kuwa nimeibiwa nilipiga simu kwa mtandao wangu (halotel) na wakaniambia hela imeshatolewa na kukata simu.

Maswali yangu
1) Jina la taassisi ni kubwa , je muhusika hana habari ya jina lake kutumika vibaya?
2) Kama kujiaminisha muhusika alinitumia video ya Mo akiinadi taasisi yake.
3). Hawa watu naweza kusaidiwaje na vyombo vya usalama kurudishiwa hela yangu?

Soma Pia: Warning: Utapeli wa kikundi wanajiita Mo Dewji Foundation

View attachment 3087819View attachment 3087821View attachment 3087820
Mkemia unatapelwaje kizembe hivyo??
Wee utakuwa mkemia uchwara, nipe 50k nikukamatie huyo aliyekutapeli chap!
 
Back
Top Bottom