King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Kila siku nasema na ntaendelea kusema nchi hii ina wajinga wengi
Na hawatoisha
Ova
Ndiyo mtaji wa sisiemu hawa,yaani ndiyo wanaorubunika kwa kofia ,tshirt na ubwabwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila siku nasema na ntaendelea kusema nchi hii ina wajinga wengi
Na hawatoisha
Ova
Ndiyo mtaji wa sisiemu hawa,yaani ndiyo wanaorubunika kwa kofia ,tshirt na ubwabwa.
Zamani nilikuwa nafikiri Kila aliye jf ana akili timamuNimetapeliwa na mtu aliyedai ni afisa mikopo wa Mo Dewji Foundation kwa kunilaghai nikope mikopo nafuu Kwa riba ndogo, ila nitoke dhamana ya asilimia 10. Nilitoa shs 35,000 na kulipa katika namba 0789 223 590 (Khatibu Khamis) na kuahidiwa kupewa mkopo wa shs laki 3, ndani ya muda mfupi.
Baada ya muda mfupi nililetewa meaeji ikinitaka niongeze Tshs 47,000 Ili itumike kufungua account ya mkopo na itareshwa pamoja na mkopo.
Mimi nimkopaji wa mitandaoni hivyo nilijiridhisha. Namba ya afisa imesajiliwa na Nida na ana kitambulisho cha hiyo taassisi daiwa.
Baada ya kujiridhisha kuwa nimeibiwa nilipiga simu kwa mtandao wangu (halotel) na wakaniambia hela imeshatolewa na kukata simu.
Maswali yangu
1) Jina la taassisi ni kubwa , je muhusika hana habari ya jina lake kutumika vibaya?
2) Kama kujiaminisha muhusika alinitumia video ya Mo akiinadi taasisi yake.
3). Hawa watu naweza kusaidiwaje na vyombo vya usalama kurudishiwa hela yangu?
Soma Pia: Warning: Utapeli wa kikundi wanajiita Mo Dewji Foundation
View attachment 3087819View attachment 3087821View attachment 3087820
View attachment 3087820
Wewe ni MSE.NGE na ni MP.UMBAVU.......Nimetapeliwa na mtu aliyedai ni afisa mikopo wa Mo Dewji Foundation kwa kunilaghai nikope mikopo nafuu Kwa riba ndogo, ila nitoke dhamana ya asilimia 10. Nilitoa shs 35,000 na kulipa katika namba 0789 223 590 (Khatibu Khamis) na kuahidiwa kupewa mkopo wa shs laki 3, ndani ya muda mfupi.
Baada ya muda mfupi nililetewa meaeji ikinitaka niongeze Tshs 47,000 Ili itumike kufungua account ya mkopo na itareshwa pamoja na mkopo.
Mimi nimkopaji wa mitandaoni hivyo nilijiridhisha. Namba ya afisa imesajiliwa na Nida na ana kitambulisho cha hiyo taassisi daiwa.
Baada ya kujiridhisha kuwa nimeibiwa nilipiga simu kwa mtandao wangu (halotel) na wakaniambia hela imeshatolewa na kukata simu.
Maswali yangu
1) Jina la taassisi ni kubwa , je muhusika hana habari ya jina lake kutumika vibaya?
2) Kama kujiaminisha muhusika alinitumia video ya Mo akiinadi taasisi yake.
3). Hawa watu naweza kusaidiwaje na vyombo vya usalama kurudishiwa hela yangu?
Soma Pia: Warning: Utapeli wa kikundi wanajiita Mo Dewji Foundation
View attachment 3087819View attachment 3087821View attachment 3087820
View attachment 3087820
Anachuma dhambi tu!Jamaa akiwapiga watu 10 ana kibunda cha kutosha., huu usajili wa line za simu nilidhani ungeondoa huu utapeli wa kibwege kwa wahusika kukamatwa lakini wapi.
serikali inaweza kutokomeza ila hawajaliJamaa akiwapiga watu 10 ana kibunda cha kutosha., huu usajili wa line za simu nilidhani ungeondoa huu utapeli wa kibwege kwa wahusika kukamatwa lakini wapi.
Uandishi wako unaashiria wewe ni mtu smart. Nasikitika kukutaarifu ya kuwa, wewe sio mtu smart na kwamba umetapeliwa kwa mbinu za kizamani sana.
Mo Dewji hana taasisi yoyote inayojihusisha na kutoa mikopo. Utaratibu wa upatikanaji wa mikopo unajulikana. Pole sana. Next time, kuwa makini na usipende njia za mkato.
Ndimi.
Kipagalo Masalakulwanga.
kwan wote wamesikia hizo taarifa za kukanusha ? ebu tuache kujisahau , mm na ww tunajuwa ila wengine hawajui isiwe sababu ya kuacha kukemea wizi wa namna hiiMbugila hawaishagi nchi hii...Mo keshakanusha huu utapeli ila bado watu wanaingia kingi kindezindezi!
hahahaaaNdiyo mtaji wa sisiemu hawa,yaani ndiyo wanaorubunika kwa kofia ,tshirt na ubwabwa.
Nimetapeliwa na mtu aliyedai ni afisa mikopo wa Mo Dewji Foundation kwa kunilaghai nikope mikopo nafuu Kwa riba ndogo, ila nitoke dhamana ya asilimia 10. Nilitoa shs 35,000 na kulipa katika namba 0789 223 590 (Khatibu Khamis) na kuahidiwa kupewa mkopo wa shs laki 3, ndani ya muda mfupi.
Baada ya muda mfupi nililetewa meaeji ikinitaka niongeze Tshs 47,000 Ili itumike kufungua account ya mkopo na itareshwa pamoja na mkopo.
Mimi nimkopaji wa mitandaoni hivyo nilijiridhisha. Namba ya afisa imesajiliwa na Nida na ana kitambulisho cha hiyo taassisi daiwa.
Baada ya kujiridhisha kuwa nimeibiwa nilipiga simu kwa mtandao wangu (halotel) na wakaniambia hela imeshatolewa na kukata simu.
Maswali yangu
1) Jina la taassisi ni kubwa , je muhusika hana habari ya jina lake kutumika vibaya?
2) Kama kujiaminisha muhusika alinitumia video ya Mo akiinadi taasisi yake.
3). Hawa watu naweza kusaidiwaje na vyombo vya usalama kurudishiwa hela yangu?
Soma Pia: Warning: Utapeli wa kikundi wanajiita Mo Dewji Foundation

🤣🤣🤣MO Foundation anatoa mikopoNimetapeliwa na mtu aliyedai ni afisa mikopo wa Mo Dewji Foundation kwa kunilaghai nikope mikopo nafuu Kwa riba ndogo, ila nitoke dhamana ya asilimia 10. Nilitoa shs 35,000 na kulipa katika namba 0789 223 590 (Khatibu Khamis) na kuahidiwa kupewa mkopo wa shs laki 3, ndani ya muda mfupi.
Baada ya muda mfupi nililetewa meaeji ikinitaka niongeze Tshs 47,000 Ili itumike kufungua account ya mkopo na itareshwa pamoja na mkopo.
Mimi nimkopaji wa mitandaoni hivyo nilijiridhisha. Namba ya afisa imesajiliwa na Nida na ana kitambulisho cha hiyo taassisi daiwa.
Baada ya kujiridhisha kuwa nimeibiwa nilipiga simu kwa mtandao wangu (halotel) na wakaniambia hela imeshatolewa na kukata simu.
Maswali yangu
1) Jina la taassisi ni kubwa , je muhusika hana habari ya jina lake kutumika vibaya?
2) Kama kujiaminisha muhusika alinitumia video ya Mo akiinadi taasisi yake.
3). Hawa watu naweza kusaidiwaje na vyombo vya usalama kurudishiwa hela yangu?
Soma Pia: Warning: Utapeli wa kikundi wanajiita Mo Dewji Foundation
View attachment 3087819View attachment 3087821View attachment 3087820
View attachment 3087820
Hayati Lowassa aliwai kusema ELIMU ELIMU ELIMU🤣🤣🤣MO Foundation anatoa mikopo
Halafu ili kukuaminishabhichi kitambulisho Famba akakuandikia The United Republic of Tanzania utadhani yeye ni mserekali.
Ama kweli Mafala hawaishi, wanakuja tu kama Wavietnam