Nimetapeliwa na mtu aliyejitambulisha kama afisa Mikopo Mo Dewji Foundation

Hilo suala dogo kwangu Kama utaniamin.

Hapo Karakata ita boda mwambie unaenda Kwa Baba Thom utanikuta hapo.

Uje na jogoo jeupe la kienyeji, Mbuzi wa bluu na mchanga wa kaburi alilozikwa albino.
 
Zamani nilikuwa nafikiri Kila aliye jf ana akili timamu
 
Wewe ni MSE.NGE na ni MP.UMBAVU.......
haya subiri nije sasa kusoma huu uzi
 
Mbugila hawaishagi nchi hii...Mo keshakanusha huu utapeli ila bado watu wanaingia kingi kindezindezi!
 
sio wote wana exposure kama ww , tujifunze kuwekeza akil kwenye kuipush serikali hasa tcra waanze wafuatilia hawa wez , huyu kaibiwa hv , kesho itakuwa zamu yako kwa mbinu nyingine ambayo huna exposure nayo
 
Mbugila hawaishagi nchi hii...Mo keshakanusha huu utapeli ila bado watu wanaingia kingi kindezindezi!
kwan wote wamesikia hizo taarifa za kukanusha ? ebu tuache kujisahau , mm na ww tunajuwa ila wengine hawajui isiwe sababu ya kuacha kukemea wizi wa namna hii
 
Pole sana mkuu. Ulikuwa na tamaa ya mkopo hukuona hata viashiria vya wazi kuwa unaibiwa.
Ila wakikamatwaga wanakuwa wadogooo, wapoleeee kama sio wao. Uzuri wa hizi fedha ni tamu si rahisi kuacha mpaka unakamatwa.
 
 
Jamani hizi smartphones ziwe na leseni, mtu hana elimu ya namna ya kutambua scammers na phishing techniques, anakua na smartphone na bando, mtazidi kuilaumu tu serikali kwa ujinga zenu.
 
🤣🤣🤣MO Foundation anatoa mikopo
Halafu ili kukuaminishabhichi kitambulisho Famba akakuandikia The United Republican of Tanzania kukuaminisha kuwa yeye ni mserekali.
Ama kweli Mafala hawaishi, wanakuja tu kama Wavietnam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…