Nimetapeliwa na mtu aliyejitambulisha kama afisa Mikopo Mo Dewji Foundation

Wewe ni Kiazi Mbatata, Wajinga hamuishi, nyie ndo mnafanya Mataperi waendelee kuwepo...!

Yani Kuna Watu Akili ya kuvukia Barabara ndo waliojaaliwa nayo....!
 
πŸ˜… Jamaa atakua na shida akajua kapata DODO la 200,000/= faster faster

Mambo vp toxic kitambo sijakuo humu..
Wabongo tunaendekeza sana miteremko. Nahisi kukosa umakini pia kunachangia. Kwa akili ya kawaida, pesa ya mkopo kutoka kampuni kwanini 'deposit' iende kwa namba ya mtu binafsi.

Kwema kaka, mihangaiko ya dunia tu lakini nipo mzee.
 
Umetapeliwa kwa upumbavu wako Mo na Bakhresa wana tangaza sana hawatoi mikopo acha tamaa za kijinga uliona wapi mkopo utoe pesa ndo upate pesa kwa mkopo mdogo kama huo wajinga mtaliwa sana.na umezidi kuonesha ujinga wako Ku anika namba yako na address😁 πŸ˜‚πŸ€£
 
Huwa nayaona sana haya matangazo facebook, sijawahi kufikiria kua kuna mbugila huwa zinaliwa vichwa kweli..

Ati anamtisha kua keshaongea na Mo πŸ˜‚πŸ˜‚, braza umeongea na Mo kweli??
 
Wabongo tunaendekeza sana miteremko. Nahisi kukosa umakini pia kunachangia. Kwa akili ya kawaida, pesa ya mkopo kutoka kampuni kwanini 'deposit' iende kwa namba ya mtu binafsi.

Kwema kaka, mihangaiko ya dunia tu lakini nipo mzee.
Wakati mwingine UMASKINI, DHIKI, NJAA, SHIDA zinaweza kukupa UPOFU WA FIKRA..

All in all,
Nimefurahi kujua unaendelea vyemaa
 
Mkemi
Mkemia unatapelwaje kizembe hivyo??
Wee utakuwa mkemia uchwara, nipe 50k nikukamatie huyo aliyekutapeli chap!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…