Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,451
Tz kuna mambugila wengiTanzania Ina mabumunda wengi sana,wewe unataka mkopo alafu unaambowa tuma pesa,
na kila siku mnaambiwa matapeli yanatumia jina la Mo Foundetion na Jokate lakini nyie kwa ujinga wenu hamkomi tu.
Mwenyewe kaanzisha uzi kwa kujiamini masikiniπββοΈπββοΈπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Wewe utakuwa muha aliekuja juzi mjiniπππNimetapeliwa na mtu aliyedai ni afisa mikopo wa Mo Dewji Foundation kwa kunilaghai nikope mikopo nafuu Kwa riba ndogo, ila nitoke dhamana ya asilimia 10. Nilitoa shs 35,000 na kulipa katika namba 0789 223 590 (Khatibu Khamis) na kuahidiwa kupewa mkopo wa shs laki 3, ndani ya muda mfupi.
Baada ya muda mfupi nililetewa meaeji ikinitaka niongeze Tshs 47,000 Ili itumike kufungua account ya mkopo na itareshwa pamoja na mkopo.
Mimi nimkopaji wa mitandaoni hivyo nilijiridhisha. Namba ya afisa imesajiliwa na Nida na ana kitambulisho cha hiyo taassisi daiwa.
Baada ya kujiridhisha kuwa nimeibiwa nilipiga simu kwa mtandao wangu (halotel) na wakaniambia hela imeshatolewa na kukata simu.
Maswali yangu
1) Jina la taassisi ni kubwa , je muhusika hana habari ya jina lake kutumika vibaya?
2) Kama kujiaminisha muhusika alinitumia video ya Mo akiinadi taasisi yake.
3). Hawa watu naweza kusaidiwaje na vyombo vya usalama kurudishiwa hela yangu?
Soma Pia: Warning: Utapeli wa kikundi wanajiita Mo Dewji Foundation
View attachment 3087819View attachment 3087821View attachment 3087820
View attachment 3087820
Wewe umemtumia hela mtu namba binafsi kabisa. Kila kitu hatuaNimetapeliwa na mtu aliyedai ni afisa mikopo wa Mo Dewji Foundation kwa kunilaghai nikope mikopo nafuu Kwa riba ndogo, ila nitoke dhamana ya asilimia 10. Nilitoa shs 35,000 na kulipa katika namba 0789 223 590 (Khatibu Khamis) na kuahidiwa kupewa mkopo wa shs laki 3, ndani ya muda mfupi.
Baada ya muda mfupi nililetewa meaeji ikinitaka niongeze Tshs 47,000 Ili itumike kufungua account ya mkopo na itareshwa pamoja na mkopo.
Mimi nimkopaji wa mitandaoni hivyo nilijiridhisha. Namba ya afisa imesajiliwa na Nida na ana kitambulisho cha hiyo taassisi daiwa.
Baada ya kujiridhisha kuwa nimeibiwa nilipiga simu kwa mtandao wangu (halotel) na wakaniambia hela imeshatolewa na kukata simu.
Maswali yangu
1) Jina la taassisi ni kubwa , je muhusika hana habari ya jina lake kutumika vibaya?
2) Kama kujiaminisha muhusika alinitumia video ya Mo akiinadi taasisi yake.
3). Hawa watu naweza kusaidiwaje na vyombo vya usalama kurudishiwa hela yangu?
Soma Pia: Warning: Utapeli wa kikundi wanajiita Mo Dewji Foundation
View attachment 3087819View attachment 3087821View attachment 3087820
View attachment 3087820
Hahaha, ila mna majibu mazuri, nafurahiMkemia umeshindwa kung'amua kuwa chemical zilikuwa hazibalance???
Ila uzuri una namba ya Mo, mtwangie tena umwambie Bw. Khamisi kaingia chaka na pesa yako ya kufungulia account ya mkopo.
Asante ndgPOLE SANA.....
kwa ushauri,watu wengi tunakopa mtandaoni,kwahiyo kabla hujataka kukopa jaribu kuuliza watu wako wa karibu kuhusu kampuni unayotaka kukopa huenda utapata taarifa sahihi za kampuni au utapewa taarifa ya kampuni nyingine inayoweza kukufaa
hao matapeli wapo weengi sahivi,kuna wa nandy supermarket,kuna wale wa ajira lipia hera ya form nk
pole sana mkuu
Kuna Joketi mikopo online pia πNimetapeliwa na mtu aliyedai ni afisa mikopo wa Mo Dewji Foundation kwa kunilaghai nikope mikopo nafuu Kwa riba ndogo, ila nitoke dhamana ya asilimia 10. Nilitoa shs 35,000 na kulipa katika namba 0789 223 590 (Khatibu Khamis) na kuahidiwa kupewa mkopo wa shs laki 3, ndani ya muda mfupi.
Baada ya muda mfupi nililetewa meaeji ikinitaka niongeze Tshs 47,000 Ili itumike kufungua account ya mkopo na itareshwa pamoja na mkopo.
Mimi nimkopaji wa mitandaoni hivyo nilijiridhisha. Namba ya afisa imesajiliwa na Nida na ana kitambulisho cha hiyo taassisi daiwa.
Baada ya kujiridhisha kuwa nimeibiwa nilipiga simu kwa mtandao wangu (halotel) na wakaniambia hela imeshatolewa na kukata simu.
Maswali yangu
1) Jina la taassisi ni kubwa , je muhusika hana habari ya jina lake kutumika vibaya?
2) Kama kujiaminisha muhusika alinitumia video ya Mo akiinadi taasisi yake.
3). Hawa watu naweza kusaidiwaje na vyombo vya usalama kurudishiwa hela yangu?
Soma Pia:
- Warning: Utapeli wa kikundi wanajiita Mo Dewji Foundation
- Mbeya: Wanaofanya utapeli kwa kutumia jina la Mo Dewji wakamatwa, wakutwa na Line za Vodacom (10), Tigo (2) na Airtel (3)
Kuna Nandy supermarket pia.Kuna Joketi mikopo online pia π
Ngoja ukutwe wewe hata pole hupati.Na mkomeee ...
Inazungumzwa humu kila siku ...
Ukishaona unaambiwa utume hela ndo upate hela ujue tayali ni utapeli..
Yaani hata akili ya kuzaliwa tu huna..
Tuma tena ..
Pole sana Mkemia ...