yana kwa kweli hatari naogopa hapa nimeamua kuomba kuoga nimejituliZA KWENYE DISHI KQMA MTOTO MCHANGA

pameweza kupoa ninavoamka asubui.nilituliza katika maji na kupaka mafuta mengi ya mgando cha kuhofia ni ngozi kubadilika rangi .kukaa kibatiki batiki

Hamna tatizo, hapo Sasa mnduku umekua swaaafi kabisa, tayari kwa matumizi mengine.Kwa kweli nipo kijijini sasa nikawa nimeoomba kuelekea uwani, akaagizwa mtoto mmoja katika hiyo nyumba anipelekee maji huko kwa choo.
Sasa mimi bila kujua, huyo nikamaliza na kujitawaziaa maji hayo yaliyokuwa na jik sasa naona kuna utofauti katika ngozi yangu eneo lililotawazwa.
Umoto moto hivi, sasa naogopa hata kusema kwa hao wenyeji maana naona soo kweli kweli.
Ebu niambieni itaniletea balaa hii jik au kawaida tu inapotea.?
pameweza kupoa ninavoamka asubui.nilituliza katika maji na kupaka mafuta mengi ya mgando cha kuhofia ni ngozi kubadilika rangi .kukaa kibatiki batiki
Kwa kweli nipo kijijini sasa nikawa nimeoomba kuelekea uwani, akaagizwa mtoto mmoja katika hiyo nyumba anipelekee maji huko kwa choo.
Sasa mimi bila kujua, huyo nikamaliza na kujitawaziaa maji hayo yaliyokuwa na jik sasa naona kuna utofauti katika ngozi yangu eneo lililotawazwa.
Umoto moto hivi, sasa naogopa hata kusema kwa hao wenyeji maana naona soo kweli kweli.
Ebu niambieni itaniletea balaa hii jik au kawaida tu inapotea?