ndupa
JF-Expert Member
- Jan 25, 2008
- 4,403
- 148
Kwa kweli nipo kijijini sasa nikawa nimeoomba kuelekea uwani, akaagizwa mtoto mmoja katika hiyo nyumba anipelekee maji huko kwa choo.
Sasa mimi bila kujua, huyo nikamaliza na kujitawaziaa maji hayo yaliyokuwa na jik sasa naona kuna utofauti katika ngozi yangu eneo lililotawazwa.
Umoto moto hivi, sasa naogopa hata kusema kwa hao wenyeji maana naona soo kweli kweli.
Ebu niambieni itaniletea balaa hii jik au kawaida tu inapotea?