Nimetawaza kwa kutumia maji yenye Jik

Nimetawaza kwa kutumia maji yenye Jik

ndupa

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2008
Posts
4,403
Reaction score
148
Kwa kweli nipo kijijini sasa nikawa nimeoomba kuelekea uwani, akaagizwa mtoto mmoja katika hiyo nyumba anipelekee maji huko kwa choo.

Sasa mimi bila kujua, huyo nikamaliza na kujitawaziaa maji hayo yaliyokuwa na jik sasa naona kuna utofauti katika ngozi yangu eneo lililotawazwa.

Umoto moto hivi, sasa naogopa hata kusema kwa hao wenyeji maana naona soo kweli kweli.

Ebu niambieni itaniletea balaa hii jik au kawaida tu inapotea?
 
teh teh..patawaka moto kwa muda paka asali au mafuta mgando then patapona
 
yana kwa kweli hatari naogopa hapa nimeamua kuomba kuoga nimejituliZA KWENYE DISHI KQMA MTOTO MCHANGA
 
Thread imekaa kimtengo! by the way pole sana!
 
pameweza kupoa ninavoamka asubui.nilituliza katika maji na kupaka mafuta mengi ya mgando cha kuhofia ni ngozi kubadilika rangi .kukaa kibatiki batiki
 
Ahahahahaaaa.... pole sana mkuu we usijali kuhusu ngozi kubadilika tena huko ndani kumejificha watu hawaoni.
 
pameweza kupoa ninavoamka asubui.nilituliza katika maji na kupaka mafuta mengi ya mgando cha kuhofia ni ngozi kubadilika rangi .kukaa kibatiki batiki

Kwa hiyo? Ulipaka mafuta mengi paka poa,pakawa rainiii,pakawa pana tereza???

Sehemu zenyewe ni za siri kwa nyuma!!!duh???

Pole na hongera pia.
 
Kwa kweli nipo kijijini sasa nikawa nimeoomba kuelekea uwani, akaagizwa mtoto mmoja katika hiyo nyumba anipelekee maji huko kwa choo.

Sasa mimi bila kujua, huyo nikamaliza na kujitawaziaa maji hayo yaliyokuwa na jik sasa naona kuna utofauti katika ngozi yangu eneo lililotawazwa.

Umoto moto hivi, sasa naogopa hata kusema kwa hao wenyeji maana naona soo kweli kweli.

Ebu niambieni itaniletea balaa hii jik au kawaida tu inapotea.?
Hamna tatizo, hapo Sasa mnduku umekua swaaafi kabisa, tayari kwa matumizi mengine.

Kama bado panawaka moto washa feni kwa speed kubwa, vua nguo zote, lala kwa mgongo lakini miguu yako irudishe kichwani. Yaani iachie 0713... iangalie juu kwa Uhuru zaidi.
 
pameweza kupoa ninavoamka asubui.nilituliza katika maji na kupaka mafuta mengi ya mgando cha kuhofia ni ngozi kubadilika rangi .kukaa kibatiki batiki

mkuu hujawa kama nyani kweli??. maana daa sipati picha ukiinama aisee maana nyuma lazima kumekuwa na rangi ya peke yake.

hembu kabong'oe kwenye kioo harafu ujitazame.
uone isha kuwa kama ngedere??
 
Kwa kweli nipo kijijini sasa nikawa nimeoomba kuelekea uwani, akaagizwa mtoto mmoja katika hiyo nyumba anipelekee maji huko kwa choo.

Sasa mimi bila kujua, huyo nikamaliza na kujitawaziaa maji hayo yaliyokuwa na jik sasa naona kuna utofauti katika ngozi yangu eneo lililotawazwa.

Umoto moto hivi, sasa naogopa hata kusema kwa hao wenyeji maana naona soo kweli kweli.

Ebu niambieni itaniletea balaa hii jik au kawaida tu inapotea?

jinsia yako tafadhalii
 
Back
Top Bottom