Nimetazama hii picha ya mwanaume aliye iacha familia na Ndugu zake TZ kweli jamaa wamejitolea aisee

Mafanikio yote ya ukombozi na vita

Yamezaa upendo na heshima Afrika..

Eeh Mungu nijalie niishi kwa utayari kutimiza wajibu kwa wananchi wote

Kwa ngazi ya amiri jeshi mkuu, na waasisi Tanzania, kwa uongozi Bora wa majeshi Mimi ninakutumaini......

Uzalendo kwanza wapo tyr kuifia nchi yao na bara la Afrika!!
 
Sasa mbona M23 wa kagame wanapata ushindi. Maana yake jeshi letu linezidiwa maarifa, au vijana wako wachache na vifaa duni?

Haja kakikundi kama sikosei wakati wa JK kaliadhibiwa ikabaki history, nadhani Nyoka hakukatwa kichwa kamefufuka na kusumbua tena.
 
Unajidanganya Tu
 
Nakumbuka Kuna Mwamba Anaitwa Major General Mwakibolwa Aliwatandika M23 Mpaka Wakakimbia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…