Nimetelekezwa na ujauzito, natafuta kazi

Mimi hata sikuonei huruma... Nyie wanawake mashetan sana si bure hata hii adithi umeitunga na hata kama ni kweli haituhusu... Mwanaume na akili zake timamu akufanyie hvyo kwanin..? Lazima utakuwa una matatizo sio bure..? Yaani nyie wanawake mkitaka misaada mnaona njia nzuri ni kusingizia wanaume... Sister nakushauri muombe mungu wako akupambanie hakuna namna... Tatzo mnapenda kuparamia wanaume wa watu nina uhakika umepora wanaume za watu sasa malipo ni hapahapa duniani yamekukuta zamu yako sasa... Eti unasema una watahadharisha wenzako hivi unadhan nyie mnajitambua basi? Sasa hivi kuna wenzako wanakucheka tu wapo inbox wanajibebisha kwa wanaume wa watu humu JF IG FB Twtr...
Wanaume ni watu wazuri sana ukiishi nao kwa heshima ila ni mbwa 😂 (kama mnavyotuita) kama ukionyesha dharau kiburi na jeuri... KARMA is Real ✌️ am out
 
Duh mkuu kuwa na huruma huyu nae binaadamu. Kiufupi wame koseana hawa wapenzi ila huyu anahitaji msaada wa ajira ili aweze kula pamoja na kujitayarisha kuleta kiumbe chengine duniani. Unao msaada msaidie kama hauna muombe dua njema dua nayo pia sadaka. Tusiwe tuna wahukumu watu kwa makosa yao, tuwape msaada watatue shida zao.

Mleta mada kwanini hujaja na ID yako halisi? Kwasababu ID inaweza kufanya watu wakakusaidia kikweli hizi ID mpya watu wengi watapuuza au wataona tapeli tu. Pole sana
 
Uwe unafikiria Mkuu kabla ya Kuandika kumbuka huyo Binti amebeba Kiumbe chenye uhai tumboni haijalishi amekosea kias gan ila Heshimu tu Hicho kiumbe kisicho na Hatia alichokibeba,

Hawa wajawazito huw hawatakiwi kuumizwa mar kwa mara kihisia inawez kupelekea mimba kuharibika, maneno ni kitu kidogo san ila kinawez Kumuumiza mtu kuliko Ngumi,

Huyu dada alkuwa anahitaj msaada kam ungewez kumsaidia ungemsaidia kam umeshndwa ungeacha tu hujui hayo maneno yko atayachukuliaje,

Maan tunatofautian kihisia je yakimuumiza had akafkia hatua ya kujitoa uhai ??? Huon kuna Karma fulan ambyo itakutafuna ht km hujamuua wewe moja kwa moja.

Umekosea Bro wew km vipi ungenyamaza tu kulko kumuongezea mtu Stress juu ya Stress.
 
Kabisa mkuu amna mtu yuko sahihi tunafanya makosa na kujifunza.
 
Hayajawai kukuta majanga ndio maana unasema hivi. Mengine sio kwamba watu tunachagua yatupate. Yanatokea tu maana sisi wote ni wanadamu tupo chini ya jua tunaanguka na kusimama tena na kusonga mbele. Asante kwa mawazo yako
Majanga yapo nje ya uwezo wetu mfano mafuriko, kifo n.k, hiyo case yako ni uzembe maana uzazi ni jambo linalohitaji maandalizi ya kifikra na pesa.
 
Strong Woman.
 


Try supermarkets. Andika haya kwenye email uya foward...
 
Pole sana dada yangu Mungu akufanyie wepesi.
 
Asiambiwe ukweli? ukweli mchungu
 
Hongera sana lakini wapo wengi wanatamani wapate mimba hawapati hilo sio janga .....kila jambo lina mwisho wake japo njia inaweza kuwa ngumu jitie nguvu miss
 
Kufuatia uandishi wako...!

1.Wewe ni mtu mzima mwenye umri kati ya 35-40
2.Uliingia kwenye mahusiano na mume wa mtu
3.Ulikuwa una tafuta mume Kwa mhemuko wa kuzaa
4.Hakuna mimba ya bahati mbaya kwenye umri wako ,ulikuwa unajua unacho kufanya
5.Mwanaume alikuwa ana stress zake na hustling zake za maisha hakuwa serious
 
Na wakati huo huo ujauzito ukawa umeingia kwangu.

Mosi, dada hakuna ujauzito wa bahati mbaya kwa mwanamke, hili ndio funzo kuu kwako la kujifunza kuliko hilo la "mwanaume wa mtandaoni" kukukimbia...

Pili, je huna ndugu zako wa damu na wale wa karibu ambao kwa sasa wanaweza kukusaidia?

Je, huwajui ndugu wa huyo kijana aliyekupa ujauzito?
 
Members wa humu wana stress zao za maisha.

Binti wa watu kaja, kawa specific and straight. Anatafuta kazi. Story yake ya mimba ni build up tu.

Mengine nadhani hayana msingi. Kama huna kazi ya kumpa, nakushauri usimzidishie stress zaidi.

Pole sana na Mungu akuwezeshe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…