macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Wanazidiana kwa idadi, aina na wingi. Mapori mengi ambayo hayana watu wengi yana nyoka wengi. Sehmu kama mkoa wa Kilimanjaro hauna mapori makubwa hivyo nyoka siyo wengi.Hivi kuna mkoa hauna nyoka? As long as kuna mapori nyoka hawawezi kukosa.
Soma google nyoka hawapendi sehemu yenye ubaridiUkame unachangia vipi wingi wa nyoka?
Umefika Nachingwea Mkuu??Habari za mida hii ndugu wananchi, kifupi mimi siyo mtaalamu wa wanyama ila ni mpenzi na mfuatiliaji wa masuala ya wanyama na makala zao kupitia TV na mitandao.
Nimetembea mikoa karibu yote Tanzania ila nimegundua kuwa dodoma ndo mkoa wenye NYOKA wengi hatari kuliko mikoa yote Tanzania. Pia nimekutana na watu wengine ambao pia wanadai dodoma hakufai, kisa wingi wa NYOKA.
Hii ni orodha ya nyoka ''HATARI" niliowaona kwa macho yangu katika ardhi ya Dodoma.
Koboko (black mamba)
Swila wa msituni (forest cobra)
Nyoka kijiti (twig snake)
Boomslang
Kifutu (puff adder)
Kifutu magamba (saw scalled viper)
Swila mweusi (spitting cobra)
THIBITISHENI AU BATILISHENI HILI KUHUSU DODOMA.
NdanindaniHapa hapa mjini au kondoa huko ndani ndani
dodoma ni ccmHabari za mida hii ndugu wananchi, kifupi mimi siyo mtaalamu wa wanyama ila ni mpenzi na mfuatiliaji wa masuala ya wanyama na makala zao kupitia TV na mitandao.
Nimetembea mikoa karibu yote Tanzania ila nimegundua kuwa dodoma ndo mkoa wenye NYOKA wengi hatari kuliko mikoa yote Tanzania. Pia nimekutana na watu wengine ambao pia wanadai dodoma hakufai, kisa wingi wa NYOKA.
Hii ni orodha ya nyoka ''HATARI" niliowaona kwa macho yangu katika ardhi ya Dodoma.
Koboko (black mamba)
Swila wa msituni (forest cobra)
Nyoka kijiti (twig snake)
Boomslang
Kifutu (puff adder)
Kifutu magamba (saw scalled viper)
Swila mweusi (spitting cobra)
THIBITISHENI AU BATILISHENI HILI KUHUSU DODOMA.
Nyoka NI viumbe damu baridi,wanahitaji mwanga wa jua wa kutosha ili kustawi kwa wingi,ukame wa dodoma unaambatana na jua la kutoshaUkame unachangia vipi wingi wa nyoka?
Hali yako, umeona nyoka wa idodomia lakini??🤣🤣🤣 Kuna nini tena jaman
Ni kweli. Ila kuna sehemu zenye nyoka zaidi. Kuna jamaa yangu alifiwa na baba yake huko Nachingwea. Ilikuwaje? Baba aligongwa na nyoka akiwa shambani analima. Ktendo cha alikuwa nao kutoka shambani kwenda kutafuta bodaboda na wa kumpeleka hospital akawa ameshafariki. Sikujua ni nyoka gani alimgonga.
Ndo nashangaa hapa....kumbe wapoHali yako, umeona nyoka wa idodomia lakini??
Nilifanya kazi Kigoma miaka 4.Nyoka ni adimu sana ukanda wa Kigoma.Hivi kuna mkoa hauna nyoka? As long as kuna mapori nyoka hawawezi kukosa.
Kilimanjaro moshi hakuna nyoka kuna vinyoka wadogo, wilaya ya hai wapo nyoka kiainaWanazidiana kwa idadi, aina na wingi. Mapori mengi ambayo hayana watu wengi yana nyoka wengi. Sehmu kama mkoa wa Kilimanjaro hauna mapori makubwa hivyo nyoka siyo wengi.