Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,097
- 17,929
Sawa dada
Ongeeni bila kutuma picha pleaseee!
Maneno tu yananiogopesha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ongeeni bila kutuma picha pleaseee!
Maneno tu yananiogopesha
Nimekaa mbeya mwaka mzima sijawahi kuona nyoka mkuuHivi kuna mkoa hauna nyoka? As long as kuna mapori nyoka hawawezi kukosa.
SawaNyoka NI viumbe damu baridi,wanahitaji mwanga wa jua wa kutosha ili kustawi kwa wingi,ukame wa dodoma unaambatana na jua la kutosha
Reptilia hupenda ukavu na joto.Ukame unachangia vipi wingi wa nyoka?
Inamaana hao nyoka hawawezi kuwa fursa?Sasa ndugu wewe umetembea mikoa mingi umeona nyoka,je pia umeweza kuona fursa gani nyingi za kiuchumi,kijamiii🤔
Nimesikia habari zake.Chunya nako no balaa.
Niliwahi kuumwa na joka kubwa saizi ya mkono wangu Wilayani Rombo kijiji cha Kirokomu mashambani, kama unakaribia Kiraeni, bahati nzuri lilinigonga kwenye kiatu. Nilikua huko masomoni form one.Kilimanjaro moshi hakuna nyoka kuna vinyoka wadogo, wilaya ya hai wapo nyoka kiaina
HuendaSehemu zote za majangwa nyoka wakali ndo wanapopenda kuishi
Nachingwea ndio Wakoloni kipindi cha Ptoject ya Kilimo cha Karanga waliachia au tuseme kufuga nyoka na kuwaachia Mashambani ili wawale Panya...kwaiyo Nyoka Nachingwea ni
Walichota nyoka wachache huko dodoma na kuwapeleka nachingweaNachingwea ndio Wakoloni kipindi cha Ptoject ya Kilimo cha Karanga waliachia au tuseme kufuga nyoka na kuwaachia Mashambani ili wawale Panya...kwaiyo Nyoka Nachingwea ni wengi
Nyoka hawapendi baridi. Most reptiles ni cold-blooded na ndio maana wanapenda sehemu zenye joto.Wanazidiana kwa idadi, aina na wingi. Mapori mengi ambayo hayana watu wengi yana nyoka wengi. Sehmu kama mkoa wa Kilimanjaro hauna mapori makubwa hivyo nyoka siyo wengi.
Nyoka hawapendi baridi. Most reptiles ni cold-blooded na ndio maana wanapenda sehemu zenye joto.Wanazidiana kwa idadi, aina na wingi. Mapori mengi ambayo hayana watu wengi yana nyoka wengi. Sehmu kama mkoa wa Kilimanjaro hauna mapori makubwa hivyo nyoka siyo wengi.
Sawa sawa mpima, kwa hiyo ukaamua kujiita ZENITH na sio NADIRSikupingi hata kidogo.Mimi niliwahi kwenda Mpwapwa kwa ajili ya field practices za mambo ya upimaji ardhi.Tulikuwa tunafanyia maporini huko kwenye mibuyu kibao.Aisee nilikumbana na nyoka wa kila aina ya rangi.
mimi m'bena bwan,, niache mmUnapakataa kwenu kisa manyoka?
Kobra wapo wengi Uvinza mNilifanya kazi Kigoma miaka 4.Nyoka ni adimu sana ukanda wa Kigoma.
Au msijute mtwara!!, ila kwa nyoka wakali naamini Tabora inaongoza.Bado haijafikia Nachingwea.......
Hata kama haujaona haimaanishi kwamba hawapo.Nimekaa mbeya mwaka mzima sijawahi kuona nyoka mkuu