Nimetembea na mdogo wake rafiki angu sijamwambia na mtoto kaniganda

I was just being a good brother kwake pia

Ila she's the one who tricked me

Ingekuwa wewe ungechomokaje?

Mazoea yalikuwa safe, mpaka ulivyo fika chumbani.

Sasa ukinitukana kitabadilika nini?
Deep down ulisoma code mazoea yanakoelekea but ukapuuza

Don't play innocent u planned it.
You already knew what gonna happen
 
Nimefurahi kujua mleta mada anadinda
 
Deep down ulisoma code mazoea yanakoelekea but ukapuuza

Don't play innocent u planned it.
You already knew what gonna happen
How could I plan something I was unaware of?

She's the one who've been clingy and I though that was platonic.

But it was her game to get me, and she finally succeeded. How could I win the temptation
 
Haya mambo ya kusoma katikati, kisha mwisho halafu ndo mwanzo kidogo nikuulize hajakupa mimba kweli?

Bahati nzuri nikaenda juu nikakuta ni mwanaume ndo anafanyiwa haya.
 
Haya mambo ya kusoma katikati, kisha mwisho halafu ndo mwanzo kidogo nikuulize hajakupa mimba kweli?

Bahati nzuri nikaenda juu nikakuta ni mwanaume ndo anafanyiwa haya.
Kama mapenzi anajua aisee,
That's the thing I appreciate about her sister,
Swala la mimba najua she she took care of that. Naamini hawezi kuruhusu hilo litokee hasa mm ni family friend wao
 
Ok, ila mlisolve baada ya ndugu yake kujua?
Ndugu wapi ? Mother ake mshikaji wangu kabisa na nilikuwa naishi palepale, we acha tu nikilikumbuka lile tukio huwa najilaumu tu, lakini fresh tu na bado mahusiano yapo imara na binti aliolewa na afisa wa BOT, na Braza ake bado swahiba wa kufa na kuzikana
 
Nataka kujua how did that thing get settled
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…