Halikuwa lengo langu, ni yeye kachora amani yoteUshaambiwa wanawake ni wengi kuliko wanaume unaelewa nini? Ulikosa wanawake ukaamua kulala na huyo mdogo wa rafiki yako? Kwa taarifa yako utaendelea kudharauliwa na hako katoto ka 2000
Potezea sio vya muhimu sana bwasheeKivipi mbona umeandika kitu sielewi?
Usimsemee mkuu, kama ambavyo alikusuprice ukapelekwa lodge usishangae ukavishwa Pete.Kama mapenzi anajua aisee,
That's the thing I appreciate about her sister,
Swala la mimba najua she she took care of that. Naamini hawezi kuruhusu hilo litokee hasa mm ni family friend wao
Mkuu si mwenyewe umekiri mipango yote ni yeye? Au nimesoma vibaya? Mpaka analipia lodge wewe huelewi imekuaje mpo hapo si ndio? Sasa unadhani kama ana nia na wewe hawezi kukusuprice na Pete? Unless alitaka akuchezee tu.Akili umeacha chooni au?
Hiyo tafsiri ni yakoMkuu si mwenyewe umekiri mipango yote ni yeye? Au nimesoma vibaya? Mpaka analipia lodge wewe huelewi imekuaje mpo hapo si ndio? Sasa unadhani kama ana nia na wewe hawezi kukusuprice na Pete? Unless alitaka akuchezee tu.
Hawa ndugu wa marafiki huwa na hatari na kukwepeka ni ngumu mkuu ila kama usemavyo ni kukaa chonjoMkuu de Gunner kuna watu watatu ambao hutakiwi kuwawazia ngono kwa namna yoyote ile hata kama wamejirahisi
1.Dada au ndugu wa damu
2.Mke au ndugu wa rafiki yako
3.Mke au ndugu wa boss wako
Kuwa na mipaka linda brand yako
Ni shida kaka ndo linakuja swala la emotional intelligenceHawa ndugu wa marafiki huwa na hatari na kukwepeka ni ngumu mkuu ila kama usemavyo ni kukaa chonjo
Usiunderestimate sana, Unaeza kuta unamuwaza Kaka mtu usiharibu urafiki kumbe alishampangwa.Hiyo tafsiri ni yako
Ndo ukomavu wa akili sasa ngoshaEmotional intelligence kwenye mapenzi ni ngumu sana..
Labda kwenye nyanja nyingine za maisha
Ni mwanangu toka way back sana,
Sasa tumekuja kuwa na ushkaji mkubwa miaka ya hivi karibuni, mixer wazazi wake wananifaahamu sana. Mimi ni mtu ambae nikizoeana na watu, hamnaga kupoa. Yaani ni mtu wa good vibes, huwa nakuwa na stori za kuwafanya watu wabadili moods.
So kuna dada mtu ambae siku wahi kuwa tunajuana coz muda mwingi alikuwa masomoni, toka nianze kwenda pale amekuwa akiniganda sana, na wazazi wao wanajua ni friends, nikifika ga pale huwa ananichangamkia sana, mara tumekaa tuna watch movie aje aniwekee miguu yake.. Mara nmanataka ashike simu yangu... Napenda sana kuongelea mambo ya philosophy na psychology so anapenda kuniita psychiatrist wake(matani) wakati mm mwenyewe mpuuzi flani tu hivi.. Aisee majuzi tu hapa weekend ya ijumaa alinisindikiza kumbe kawaambia wazazi wake kuwa kuna mishe na kazi anaenda kufatilia(aliwadanganya)
Guys, mimi sijui chochote nimetoka zangu pale kwao maana huwa napita kama kila day kuwapa hi,
Ulichokifanya mkuu!Hapendi nini? Hapo hauja specify